TOKYO KUANDAA MASHINDANO YA OLIMPIKI 2020

Tokyo Olympic Stadium

Hatimaye mashindano ya Olimpiki ya mwaka 2020 yatafanyikia mjini Tokyo nchini Japan, hii ni baada ya mchuano mkali kati ya miji mitatu ya Madrid Hispania, Istanbul Uturuki na Tokyo Japan.

Mkutano mkuu wa Kamati ya Olimpiki ya Dunia uliofanyika mjini Boenos Aires nchini Argentina jana ndio ulioamua michezo hiyo kufanyika Tokyo Japan baada ya miji hiyo yote kupigiwa kura na hatimaye mji wa Tokyo kushinda.

Michezo yajayo ya Olimpiki ya mwaka 2016 yatafanyikia mjini Rio De Janeiro nchini Brazil. Wanamichezo wa Tanzania tuanze maandalizi yetu mapema iwezekanavyo tuachane na maandalizi ya zima moto.

Comments

Popular

GIDABUDAY KUHAMASISHA UJENZI WA KIJIJI CHA MICHEZO TANZANIA LENYE JINA YA MWANARIADHA MKONGWE BW.JOHN STEPHEN AKHWARI

Rio Olympics: Brazil win men's volleyball gold, GB's Joyce takes boxing silver – as it happened

Olympics 2016: Usain Bolt completes sprint double, Jade Jones retains taekwondo title

Rio Olympics: Swimmer Lochte apologises for 'robbery' saga