Latest News

Tuesday, January 28, 2014

Dkt. Mohammed Gharib Bilal ateta na waziri wa Utalii na MaliasiliMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyarandu na Naibu wake, Mohamed Mgimwa, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Jan 27, 2014.

No comments:

Post a Comment