Latest News

Wednesday, January 22, 2014

MSIBA CHALINZE: Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mh.Said Ramadhani Bwanamdogo amefariki duniaSaid Ramadhani Bwanamdogo

Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mh.Said Ramadhani Bwanamdogo amefariki dunia mapema leo katika hospitali ya MOI Dar Es Salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Tunawaombea mungu awape nguvu ndugu jamaa, marafiki na taifa katika kipindi hiki kigumu kwetu.

'Yeye mbele sisi nyuma yake; Mwenyezi mungu amweke mahali pema peponi' AMINA.


No comments:

Post a Comment