Latest News

Saturday, January 18, 2014

OFISI ZA BUNGENI: MHE. MIZENGO PINDA AKAGUA MAENDELEO YA UKARABATI WA JENGO LA BUNGE LA TANZANIA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa ameketi wakati akikagua marekebisho yanayofanyika katika ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Januari 18, 2013 ikiwa ni maandalizi ya Bunge la Katiba linalotarajiwa kuanza mwezi ujao. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu. (Picha ya Juu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua kazi ya uwekaji viti vipya katika ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Januari 18,2014 ikiwa ni maandalizi ya Bunge la Katiba linalotarajiwa kuanza mwezi ujao. (Picha ya Chini)

No comments:

Post a Comment