Latest News

Friday, February 7, 2014

KATIBA MPYA: Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kutangazwa muda wowoteHabari za zinazosubiriwa kwa hamu na watanzania ni kutangazwa kwa majina ya wabunge 201 watakao ungana na wabunge wa Jamhuri ya Muungano kujadili mustakabali wa katiba ijayo.

Hii itakuwa ni bunge la aina yake tangu taifa letu lipate uhuru sababu bunge hilo litahusisha makundi mbali mbali ya watanzania. Kuanzia vyama vya siasa, Asasi binafsi, makundi ya wakulima na wafugaji, walemavu na makundi mengine ya kijamii huku swala la JINSIA likitiliwa maanani.

Hofu kubwa na msisimuko umewakumba wale ambao wamebahatika majina yao kupelekwa, ikiwa ni jumla ya majina 3774 ambayo yatapna mheshimiwa rais na hatimaye kupatikana majina 201.

Endelea kufuatilia habari hizi mhimu na za kihistoria katika gidabuday.blogspot.com

No comments:

Post a Comment