Latest News

Thursday, February 13, 2014

MOTO CHUO CHA POLISI MOSHI, GHALA LA VIFAA LATEKETEAWanafunzi wa chuo cha taaluma ya polisi Moshi wakijaribu kuzima moto na kuokoa mali zilizokuwa zikiungua katika moja ya stoo ya kihifadhia vitu mbalimbali zikiwemo nguo baada ya kuzuka kwa moto katika jengo hilo.No comments:

Post a Comment