Latest News

Thursday, February 6, 2014

Rais Kikwete afungua mkutano wa baraza la vyama vya siasa

Rais Jakaya Kikwete akitoa hotuba yake kwenye ufunguzi wa mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa leo Februari 6, 2014 katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam.
viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa wakati wa ufunguzi wa  mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam.
Viongozi walitanguliza neno la mungu kabla ya mkutano kuanza ikiwa ni ishara ya amani miongoni mwao wote licha ya tofauti zao za kisiasa.

No comments:

Post a Comment