Latest News

Tuesday, April 1, 2014

OFA: Makampuni yanakaribishwa Sokoine Marathon "Corporate Team Challenge"


Kama njia ya ushirikiano na makampuni ambayo huwa inakuwa mstari wa mbele kudhamini michezo; Tunayo furaha kukaribisha kampuni zenye kutaka kushiriki na kutangaza bidhaa zao.

Kwa watakaokidhi masharti wataruhusiwa kuweka HEMA la mauzo na matangazo ya bidhaa zao. Michezo ni kila kitu ikiwemo elimu, afya, ajira, biashara, utalii, diplomasia UZALENDO etc.

Karibuni sana watanzania wote.

No comments:

Post a Comment