Latest News

Tuesday, July 15, 2014

JK akabidhi bendera timu ya Glasgow

Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi bendera ya taifa kapteni wa timu ya Jumuia ya Madola Selemani Kidunda wakati wa send-off party iliyoandaliwa katika uwanja wa Taifa Dar EsSalaam hii leo. Rais pia aliambatana na waziri Membe na naibu waziri inayohusiana na michezo mheshimiwa Juma Nkamia.
Wanamichezo wa michezo yote iendayo Glasgow hapo kesho ikiwemo riadha, ngumi, kuogelea na judo wakimsikiliza mheshimiwa rais kwa makini huku wakionyesha furaha yenye matumaini ya kuiletea Tanzania medali za kutosha.
Katibu mkuu wa kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) Filbert Bayi akielezea mchakato mzima wa mipango iliyofanikisha kupatikana kwa nafasi za kambi za nje ya nchi ujulikanao kama Sports Diplomacy.


No comments:

Post a Comment