MICHEZO: Mpango wowote ule unahitaji utaalamu wake

Wanariadha wa kimataifa wakifanya mazoezi nchini Marekani katika jimbo la Colorado

Duniani kila kitu ni taaluma, lakini taaluma lazima iendane na Uadilifu, Utii, Uaminifu na Hekima.

Kwa mfano mchezo wa riadha unahitaji utaalamu wa kujua ni wapi pa kufanyia mazoezi? Ndipo sasa mpango wa ujenzi wa miundo mbinu ya mazoezi yenyewe yaanze kufikiriwa.

Mfano mzuri ni jinsi wanariadha wengi duniani wanapofunga safari kwenda sehemu zenye mwinuko au tuseme nyanda za juu (High Altitude) kama inavyoonekana katika picha hapo.

Kwa utafiti wangu mwenyewe sehemu ambazo wanariadha wa kimataifa wanafurika kutafuta High Altitude ni Bonde la Uffa Kenya na jimbo la Colorado Marekani. 

Tanzania ni sehemu nzuri sana ambapo laity viongozi wetu wa michezo wangeumiza vichwa kujenga kituo kikubwa cha michezo tungepata kundi kubwa la wageni wa ‘Athletic Tourism” 

Hivyo basi; Sisi wadau wa michezo hapa Tanzania tunapambana kujenga kitu kama hiki hapo ichani (National Sports Village).


Comments

Popular

GIDABUDAY KUHAMASISHA UJENZI WA KIJIJI CHA MICHEZO TANZANIA LENYE JINA YA MWANARIADHA MKONGWE BW.JOHN STEPHEN AKHWARI

Rio Olympics: Brazil win men's volleyball gold, GB's Joyce takes boxing silver – as it happened

Olympics 2016: Usain Bolt completes sprint double, Jade Jones retains taekwondo title

Rio Olympics: Swimmer Lochte apologises for 'robbery' saga