Latest News

Wednesday, August 19, 2015

Kama huamini kwamba sauti ya watu ni sauti ya mungu pisha njia!

Dar es Salaam, Mbea, Arusha, Mwanza hadi Zanzibar ni Lowassa + Chadema + Ukawa = USHINDI.

Katika mikoa mitano Zanzibar ikiwa mojawapo, Lowassa ameonyesha "Fear Factor" kwa CCM.