Latest News

Wednesday, October 21, 2015

Lowassa anatarajiwa kuwa rais wa Tanzania wa awamu ya tano

Sina shaka wala kiwewe kwamba nani atakuwa rais wa awamu ya tano, nimezunguka nchi nzima, nimepita kwenye vijiwe halali na vijiwe haramu, vyote vinampa ushindi Lowassa.
Nimepita kwa akina mama, wasichana, wavulana, wazee wa rika zote, wafugaji kwa wakulima, nimegundua kwamba Lowassa atachaguliwa na wengi hata ndani ya CCM.

Kwa wafugaji na wakulima wa ndani ndani huko vijijini na maporini Lowassa atachaguliwa kwa kutojua kama alihama chama ama la! Sababu Lowassa alipita nchi nzima mara zote.

Alipita akiwa CCM na sasa anapita akiwa CHADEMA! Who cares, they will elect him anyway.

The question is; How do you stop the man of the people; to be elected by the people, to be defended by the people?

Pepozzzzz !...