Latest News

Thursday, December 10, 2015

Nape Nnauye ateuliwa Waziri wa Habari, utamaduni, wasanii na michezo

Nape Nnauye / Waziri wa Michezo
Katika listi fupi ya Mawaziri walioteuliwa Nape Nnauye ndiye anayetuhusu sisi wananmichezo na tasnia nzima ya Utamaduni na Wasanii.

Je Nape Nnauye kweli anafaa kufanya mambo serious ka Michezo? Nape amezoea kazi za kisiasa na propaganda zaidi. Simaanishi kuhoji uteuzi wa rais ila naimani kwamba mheshimiwa rais atakuwa amewaweka chemba wateule ili wasilete taarabu katika kazi za kizalendo.

Nape karibu michezoni ila hatutaki upayukaji.

No comments:

Post a Comment