Rais Dr John Magufuli atangaza baraza jipya la mawaziri

Rais Dr John Pombe Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli hivi punde ametangaza baraza lake la mawaziri, amesema wizara nyingi wameunganisha na atakuwa na wizara 18, na watakuwa na mawaziri 19 tu, na baadhi ya wizara zitakuwa na manaibu waziri huku zingine hazitakuwa na manaibu waziri.

Magufuli: Baraza nitakalolichagua halitakuwa na semina elekezi, kama ni semina watajipa huko huko ndani, wenyewe. Baadhi ya Wizara na Mawaziri wake;
 
Tamisemi, Utumishi na Utawala Bora – Simbachawene na Angela Kairuki.
Wizara ya Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora ina mawaziri wawili ambao ni Mh. Simbachawene na Kairuki


Wizara ya Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Waziri wake ni Jenesta Mhagama
Wizara ya Mambo ya Nje na EAC/ Kimataifa – Augustino Mahiga, Naibu Waziri – Dk. Suzan Kolimba
Wizara ya Ardhi – William Lukuvi


Wizara ya Elimu Waziri bado hajapatikana, Naibu Stella Manyanya
Waziri wa Afya Jinsia na Watoto: Ummy Mwalimu, Naibu wake Kigwangalla

Comments

Popular

GIDABUDAY KUHAMASISHA UJENZI WA KIJIJI CHA MICHEZO TANZANIA LENYE JINA YA MWANARIADHA MKONGWE BW.JOHN STEPHEN AKHWARI

Rio Olympics: Brazil win men's volleyball gold, GB's Joyce takes boxing silver – as it happened

Olympics 2016: Usain Bolt completes sprint double, Jade Jones retains taekwondo title

Rio Olympics: Swimmer Lochte apologises for 'robbery' saga