Latest News

Wednesday, July 6, 2016

Holili Youth Athletics Club yamkumbuka Mwl Timothy Kamili

Timu ya Holili Youth Athletics Club ikijiandaa na mashindano madogo (Trials for Kamili Gado) kwa kumbukumbu ya mpendwa wao aliyechangia maendeleo ya club hiyo
Ni mwaka moja leo umetimia tangu wadau wa mchezo wa riadha Tanzania walipoondokewa na kocha wao maarufu Timothy Joseph Kamili ( wa pili kushoto) katika ajali mbaya iliyotokea Holili mkoani Kilimanjaro

'Pole wanafamilia, pole Domician Rwezaura, pole Holili, pole Riadha Tanzania, pole wadau wote wa riadha Tanzania'

Mungu aiweke roho ya marehemu mahala pema peponi amina.


@gidabudays