Latest News

Wednesday, January 22, 2014

Magunia 16 ya bangi (Marijuana) yakamatwa jijini Arusha baada ya msako mkali


Mkuu wa kitengo cha kuzuia na kupambana na madawa ya kulevya Mkoa wa Arusha Mratibu Msaidizi wa Polisi (ASP) Aben Mgode akiwaonyesha waandishi wa habari misokoto 5000 na magunia 16 ya bangi yaliyokamatwa kufuatia misako mbalimbali iliyofanyika mkoani hapa.
Watu saba wakiwemo wanawake wawili wamekamatwa na misokoto 5000  ya madawa ya kulevya aina ya bangi pamoja na mirungi kilo 47. Tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita katika eneo la Mti mmoja lililopo wilaya ya Monduli.

No comments:

Post a Comment