Posts

Showing posts from September 1, 2013

SIKU YA SOKOINE MEMORIAL DAY (MARATHON) 2013 NA MAANDALIZI YA 2014 YAKO MBIONI.

Image
Mh. Namelok Moringe Sokoine - Mbunge wa viti maalum CCM akikabidhiwa  cheti cha kushiriki mbio za Edward Moringe Sokoine Mini Marathon na mkuu wa mkoa wa Arusha Mh. Magesa Mlongo jana Wilayani Monduli Arusha. Namelok Sokoine ni binti wa hayati Edward Moringe Sokoine ambaye ni mfano wa kuigwa na wanawake wote nchini kwa kusimama kidete katika maandalizi ya kumbu kumbu za baba yake, aliyefariki mnamo tarehe 12/4/1984 kwa ajali ya gari wakati huo akiwa ndiye Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.  Mgeni rasmi atakuwa Mh. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete ambapo pia kutakuwa na michezo mingine, mengi zaidi msikilize Mh. Namelok hapo chini. . A Viongozi na wanafamilia wakishuhudia matukio ya michezo yaliyokuwa yakiendelea.  Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo Dr. Fenella Mukangara akiwa na wabunge wakati wa mbio za Mini Marathon ya kumbu kumbu ya hayati "Edward Moringe Sokoine 2013" Wilayani Monduli siku ya jana. SOURCE: ASILI YETU TANZANIA

MAADHIMISHO YA MIAKA HAMSINI YA UHURU: TULIKUWA 'UHURU PEAK' PAMOJA NA MADARAKA NYERERE, ANTONIO NUGAZ, ABUU MALIPULA, NEEMA LODRICK ETC

Image
Shukurani kwa: (1) Zara Tours (2) Tanzania Tourist Board (3) TANAPA kwa udhamini. Lakini sintasahau uzalendo ulioonyeshwa ba Mapota (WAGUMU) pamoja na waongozaji wetu (Guides) kwa kutuhudumia nia nzima. 'HAKIKA MT.KILIMANJARO NI MBINGU ILIYOPO DUNIANI' Source: TANTRAVEL