Posts

Showing posts from October 27, 2013

Commonwealth Games: Glasgow ‘on track’ for 2014

Image
The committee said Glasgow 2014 had provided detailed plans to meet the needs of athletes, spectators, volunteers and stakeholders. Picture: PA GLASGOW is well on track for hosting an “outstandingly” successful Commonwealth Games, a review has found. Representatives from the Commonwealth Games Federation (CGF) have spent a week in the city, visiting venues and assessing security and transport arrangements in preparation for next summer. Vice president Bruce Robertson said that, with eight months to go, the organising team had hit all its targets and the Games were so far being delivered on budget. The committee said Glasgow 2014, led by chief executive David Grevemberg, had provided detailed plans to meet the needs of athletes, spectators, volunteers and stakeholders. They credited the “excellent” partnership between Glasgow 2014, Glasgow City Council, Police Scotland and the Scottish Government. Excitement Mr Robertson said: “With the Games now

JITIHADA BINAFSI: HOLILI YOUTH ATHLETIC CLUB (HYAC) ILIANZA KWA JUHUDI ZA MTU BINAFSI KAMA HIVI

Image
Viongozi wa HYAC L-R (Nelson Mrashani,Domician Genand na Timoth Kamili Holili Youth Athletic Club ni moja ya vilabu vya riadha vilivyoanzishwa hapa nchini, club hii ipo Holili wilayani Rombo Mkoa wa Kilimanjaro.   Club hii ilianzishwa na mdau mkubwa wa mchezo wa riadha ambaye ni mkurugenzi kwa sasa DOMICIAN RWEZAURA GENANDI mnamo 2010 na kusajiliwa rasmi 2011 kwa namba ya usajili NSC9833 na kuanza shughuli za kuendeleza mchezo wa riadha mwaka moja baadaye. Clu hii ilianza na wachezaji 6 tu lengo lake likiwa kuibua na kuendeleza vipaji vya vijana katika mchezo wa riadha hapa nchini, hadi sasa club ina jumla ya wanariadha 15 wakiwemo wazoefu wachache na chipukizi ambao kwa pamoja wamekuwa wakifanya vizuri katika mashindano mbalimbali walioshiriki ndani na nje ya nchi. Malengo makubwa ya club hii ni kukuza na kuendeleza mchezo wa riadha kwa kuwalea wanariadha chipukizi ili waje kufanya vizuri baadaye, kuwepo kwa wanariadha wazoevu katika club kumewapa ham

Sir Alex Ferguson awapa moyo Manchester United

Image
Ferguson alistaafu baada ya kuiongoza klabu kwa miaka 27 Aliyekuwa kocha wa Manchester United, Sir Alex Ferguson amesema kuwa wachezaji wa Man U wanaweza kubadili mwanzo wao mbaya kwenye ligi ya Premier, licha ya kuwa pointi nane nyuma ya timu inayoongoza ligi hiyo kwa sasa Arsenal. Ushindi mara mbili wa timu hiyo katika mechi mbili zilizopita , ina maana kuwa upande wa David Moyes wameweza kujikomboa kutokana na matokeo mabaya zaidi ya Man U katika mwanzo wa ligi hiyo, kuwahi kushuhudiwa katika miaka 24 ya klabu hiyo. Ferguson, mwenye umri wa miaka 71, alisema sio mara ya kwanza kwa klabu hiyo kuwa na mwanzo mbaya wa msimu. Imetokea mara nyingi. "Man U ndio klabu pekee kuwahi kutoka nyuma kwa pointi na hatimaye kushinda ligi,'' alisema Ferguson Ferguson, aliyesalia kuwa mmoja wa wakurugenzi wa klabu hiyo , alistaafu kutoka katika wadhifa wa meneja mkuu wa klabu mwishoni mwa msimu baada ya kushinda mataji 38 katika usimamizi wake wa miaka 27.

UCLA football: In rough seas, offense can't find its balance

Image
Out of sync is the only way to describe UCLA 's offense The Bruins struggled running the ball against Stanford . They were ineffective passing against Oregon . Granted, the sixth-ranked Cardinal and second-ranked Ducks are two of the nation's top teams, but UCLA ran for only 78 yards against Stanford and quarterback Brett Hundley threw for only 64 yards against Oregon. "Calm seas don't make great sailors," offensive coordinator Noel Mazzone said. "We've got some rough seas." Injuries played a part. Running back Jordon James was fifth in the nation in rushing when he injured an ankle against Utah on Oct. 3. He was in pads Tuesday for the first time since the injury but left for treatment halfway through practice. Running back Steven Manfro was not at practice after suffering an ankle injury against Oregon. The offensive line lost tackles Torian White, Simon Goines and Connor McDermott. White broke a bone and tore a ligament in

Tanzania: Felix Sets New Rock City Marathon's 21km Record

Image
Domician Genand / Holi li's Boss Mwanza Tanzania ALPHONCE Felix of Arusha clocked 1 hour 02 minutes 17 seconds to win this year's Rock City Marathon in Mwanza after breaking last year's record of 1:05:00 set by compatriot Kopiro Chacha. Kenyan Vicoty Chepkemoi won the women's race in 1:12:44. They were awarded 1.5m/- each. Felix, who finished third last year, said he has made a sky-high leap this year. "This is my personal best time," he said. The Tanzanian's record time in the men's 21km race was contributed much by a stiff opposition from Kenyan star Joel Kimtiae, who finished second in 1:02: 24 ahead of Tanzanian Sambo Andrew, who came third in 1:03: 01. Tanzanian Salum Nyokae was placed fourth, slightly ahead of veteran Dickson Marwa. The women's race witnessed another fierce showdown between Chepkemoi and Tanzanian Sarah Ramadhan who clocked 1:13:55 to finish second. Veteran Zakia Mrisho could not cope with the bur

MALINZI AMBWAGA KWA MBALI NYAMLANI, WALLACE KARIA AMTOA RAMADHAN NASIB

Image
JAMALI MALINZI RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) anayemaliza muda wake, Leodegar Tenga usiku wa kuamkia leo amemtangaza rasmi Jamal Malinzi kuwa rais mpya wa Shirikisho hilo baada ya kushinda uchaguzi wa rais wa TFF kwenye Ukumbi wa NSSF Waterfront, Dar es Salaam. Kwa mujibu wa matokeo yaliyotangazwa, Malinzi alipata kura 73, huku mpinzani wake pekee Athuman Nyamlani akiambulia kura 52. Hii ni tofauti ya kura 21 kati ya mshindi Malinzi na Nyamlani. Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi, Hamidu Mbwezeleni ndiye aliyetangaza matokeo hayo na kuamsha shangwe ukumbini hapo huku wapambe wa wagombe wengine wakitoka vichwa chini. Awali kabla ya uchaguzi huo, Nyamlani ndiye aliyekuwa Makamu wa rais wa TFF. Kwa upande wa makamu wa rais wa TFF, aliyeshinda ni Wallace Karia aliyepata kura 67, akifuatiwa na Ramadhan Nasib aliyepata kura 52 na Iman Madega aliyepata kura 6 tu. Kabla ya uchaguzi huo, Karia amewahi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi inayoendesha Ligi

BUNG'EDA: The world most expensive burial process practised by Barbaig also known as Datoga

Image
Burial ceremony: The tribe called Barbaig performs the most spectacular process Bung'eda is a special type of grave in which a dead body of an elderly man is buried. It's origin is deeply rooted in the culture and tradition of the Datoga / Barbaig community.   However the definition of Bung'eda can be broader than this as it includes several ceremonial events which commence after the burial has been effected.   The grave Bung'eda is special in the following aspects; - In the way is made ( it is dug in a circular shape) - The way the dead body is placed (it is seated in the upright position and facing east ward with a fresh cattle hide wrapped around the body (This male-cow which must have any defect on its body and from a clean family in killed by being suffocated to death before being skinned by also clean people. - In its rarity since one to be buried in this way should first deserve, and it is the community which declares and not