Posts

Showing posts from August 24, 2014

Okwi arejea Simba

Image
Emmanuel Okwi /Mchezaji maarufu wa soka HATIMAYE mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda, Emmanuel Okwi, jana amesaini kuichezea klabu yake ya zamani ya Simba kwa mkataba wa miaka miwili. Habari zilizopatikana jana jioni, zilisema nyota huyo ambaye hatima yake ndani ya klabu ya Yanga ilikuwa gumzo kubwa, jana alitarajiwa kusaini mkakaba huo kuwatumikia Wekundu wa Msimbazi kwa kipindi kingine. Kurejea kwa Okwi Msimbazi, kunamweka katika wakati mgumu mchezaji Benard Musoti, nyota wa kimataifa wa Kenya, kwani sasa ni yeye sasa anayechungulia dirisha la kutokea, ama Pierre Kwizera. Okwi kutua Simba, ni kama kurejea nyumbani kwani ndio klabu aliyojiunga nayo kwa mara ya kwanza nchini akitokea Uganda na kung’ara nayo, kabla ya kuihama na kujiunga Etoile du Sahel ya Tunisia na kisha Yanga. Sheria za usajili za Ligi Kuu Tanzania Bara zinataka klabu kuwa na nyota wa kigeni wasiozidi watano na mbali ya Okwi, nyota wengine wa kimataifa katika kikosi cha Simba ni, Raphael Kiongera, Joseph O...

Michezo: Tufanye yafuatayo ili tusonge mbele

Image
Bernard Membe/Waziri mambo ya Nje Viongozi wa vyama vya michezo wanapaswa kurejesha serikalini ripoti ya jinsi maandalizi, safari na mashindano yalivyofanyika wakati wa mashindano ya Glasgow. Itakuwa ni kosa kubwa iwapo vyama vya michezo vitakabidhi ripoti zao kwa mkurugenzi wa michezo, badala yake viongozi wa vyama wakabidhi wenyewe. Pia itakuwa ni haki kabisa wataalamu wa michezo husika kushirikishwa siku ya ripoti hiyo kuwasilishwa ili nao watoe ushauri wao wa kitaalamu. Wachezaji walioshiriki pia wahusishwe ili waweze kusema yao ya mioyoni kwa uhuru na uwazi. ‘Hayo yakifanyika tutafanya vizuri safari ijayo kwani tutakuwa tumejua wapi tulijikwaa’

Tanzania Struggles in School Games

Image
Team Tanzania during the opening ceremony in Dar Es Salaam Tanzania TANZANIA'S Makongo Secondary School triumphed 79-73 in a thrilling basketball match of the East Africa Secondary School Games at the National Stadium in Dar es Salaam on Wednesday. However, the going is not all that smooth for the hosts as Makongo lost their three netball matches, including yesterday's massive 63-11 defeat to St Kitende of Uganda. Jitegemee head coach Christina Kabamba attributed her team's poor show to inferiority complex and ruled out any chance of advancing to the finals. Another Tanzanian side, Kizuka Secondary School, lost 36-30 to Shimba Hills of Kenya in netball. In volleyball, St Aloys Girls of Rwanda defeated Makongo 3-0 as Lycee De Nyanza of Burundi thrashed Tanzania's Kilabela 3-0. SOURCE: Daily News

Athletes now ready for FEASSA Games

Image
Athletes who are to compete at the ongoing Federation of East Africa Secondary School Associations (FEASSA) Games promised their readiness ahead of their action tomorrow.    Athletes from Kenya, Rwanda, Zanzibar, Burundi, Uganda, South Sudan and the host Tanzania will compete at the Games at the National Stadium in Dar es Salaam.   With all games now in progress at various venues, Tanzanians are expected to win many medals in athletics.     Speaking at the training session yesterday, Tanzania athletics coach Mohamed Hussein said preparations were going well and he was pleased with his athletes who will compete in 100m, 200m and 400m.   He called all Tanzanians to cheer the team, so that medals are to remain home.   18-year-old Tanzanian athlete Adinan Haroun Chongoe expressed his readiness, saying the preparations were good and he cannot wait to give his home country the first athletics medal in the Games.   Chong...

Mo Farah is on the mission to break all European records

Image
Mo Farah improved on a 36 years old European best for 2 miles to bring the Sainsbury's Birmingham Grand Prix to a rousing finish at the Alexander stadium. Fara produced a solo run second mile of almost exactly four minutes to win in 8:0785, eclipsing Steve Ovetts 1978 mark for the non championships event by six seconds. ‪ IAAF Diamond League meeting on 24 August 2014.

Bondia Mafuru akana kuugua tumbo Madola

Image
BAADA ya Shirikisho la Ngumi za Ridhaa Tanzania (BFT) kusema linaendelea na uchunguzi kubaini sababu iliyofanya bondia Nasser Mafuru ashindwe kupanda ulingoni, bondia huyo anawashangaa waliosema aliugua kwani alikuwa fiti kiafya. Mafuru hakupanda ulingoni katika mashindano ya Jumuiya ya Madola ambayo yalimalizila Agosti 3, huko Glasgow, Scotland kwasababu walizodai kwamba alishikwa na tumbo la kuharisha. Mafuru alisema kwa njia ya simu jana, kuwa alikuwa mzima na hajawahi kuumwa tangu walipofika katika mashindano hayo, na kwamba walichelewa kufika eneo ukumbini viongozi ambao aliongozana nao ndio waliotoa sababu za kuugua. “Mimi sikuugua nilikuwa mzima, lakini tulichelewa kufika ukumbini nilikuwa nishajiandaa baada ya kufika tukakuta wanamtangaza bingwa Yule ambaye nilitakiwa kucheza naye lakini nawashangaa waliosema kwamba nilikuwa naumwa wakati tulikuwa na daktari ambaye naye hakujua kuumwa kwangu,” alisema Mafuru. Aidha, Ma...

Going sub-19 seconds for 200m is a possibility, says Bolt

Image
Five years on from setting his 100m and 200m world records, Usain Bolt says breaking 19 seconds for the half-lap event remains his goal On August 16, 2009, Usain Bolt broke the world 100m record in Berlin and four days later did the same over double the distance. Five years on, the six-time Olympic gold medallist says breaking 19 seconds for 200m remains his goal and is an achievement that he believes is a “possibility”. Having struggled with injury in 2014, Bolt has ended his season early and is targeting a return to training in October ahead of a year which includes the IAAF World Championships, an event at which the 28-year-old has won eight gold medals. Your 100m record has now stood for five years. Why do you think it has remained for so long? Usain Bolt: I don’t know really. For me, I’ve struggled with injuries over the past five years, so it’s been hard to be in the condition that I was in Berlin to really challenge that record. In London I felt go...

Viongozi wa michezo nchini ‘janga la Taifa’

Image
Mhe.Dr.Fenella Mukangara / Waziri wa Michezo Wakati wa utawala wa Baba wa Taifa, Marehemu Julius Kambarage Nyerere, Tanzania iliingia kwenye rekodi ya mataifa tishio barani Afrika katika michezo. Wakati huo, wanamichezo wa taifa waliaminika kwa Watanzania kila waliposema wanakwenda kushindana nje ya nchi. Si kama Tanzania ilishushiwa muujiza bali ilitokana na namna viongozi wa Serikali na wale wa michezo wa wakati huo walivyotambua wajibu wao. Historia zinaonyesha namna michezo ilivyofanyika kwa mpangilio kuanzia ngazi za shule, kata, wilaya, mkoa na taifa, vipaji vilionekana na Taifa likafanya vizuri kimataifa. Tanzania iling’ara kwenye mashindano ya Olimpiki, Jumuiya ya Madola na Afrika wakati huo kutokana na namna taifa lilivyotengeneza timu za ushindani kuanzia ngazi ya wilaya, mikoa na hata taifa hivyo kuwa na akiba ya vijana wengi wenye vipaji vya michezo. Tofauti na sasa ambapo kadri siku zinavyozidi kwenda ndivyo jahazi la michezo ya Tanzania linazidi ku...

Filbert Bayi aishangaa Serikali

Image
Katibu Mkuu wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), Filbert Bayi amesema ripoti ya timu za Tanzania zilizoshiriki michezo ya Jumuiya ya Madola imekwama baada ya Serikali kutaka wanamichezo wote waliokwenda Scotland kuhusishwa wakati itakapowasilishwa kwao. Bayi alisema Serikali imetaka wachezaji walioshiriki kwenye michezo hiyo kuwepo wakati vyama vyao vikiwasilisha ripoti zao za Madola. “Ripoti zimechelewa kwa kuwa Serikali imetaka wanamichezo wote waliokuwa Scotland kuwapo katika kikao cha tathmini, hiyo ni gharama, hivyo tuko kwenye mchakato wa kutafuta fedha ili kufanikisha hilo,” alisema. Alisema gharama za kufanya tathmini hiyo ni Sh 8 milioni, ambazo pia zitatumika kuwagharamia wachezaji wa mikoani walioshiriki michezo hiyo kuja Dar es Salaam ili kushiriki katika tathmini hiyo. “Hii ni mara ya kwanza ripoti ya Madola na tathmini yake kufanyika kwa kushirikis...