Posts

Showing posts with the label Riadha

Meya Azindua Mbio za Kilomita 5000 katika mbio za Mapinduzi Festivals 2021

Image
  Kutoka Kushoto: Bw. Jackson Jorwa, Kocha Francis John , Meya wa Jiji la Arusha, Mh. Maximillian Iraqhe , Mkurugenzi wa Gidabuday Sports Tourism Foundation, Bw. Wilhelm Gidabuday na Bw. Ndaweka wakiwasili kwenye mbio za  2nd Annual Mapinduzi Festival  ambazo zilizoandaliwa na Gidabuday Sports Tourism Foundation ,wakishirikiana na Chama cha Riadha cha wilaya na Mkoa wa Arusha, ambazo zilifanyika tarehe 14/03/2021 katika Viwanja vya Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha. Meya wa Jiji la Arusha Bw. Maximillian Iraqhe akianzisha mbio za mita 5000 katika mbio za  2nd Annual Mapinduzi Festival  ambazo zilizoandaliwa na Gidabuday Sports Tourism Foundation ,wakishirikiana na Chama cha Riadha cha wilaya na Mkoa wa Arusha, ambazo zilifanyika tarehe 14/03/2021 katika Viwanja vya Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha Mkurugenzi Mtendaji wa Gidabuday Sports Tourism Foundation , Bi. Eva Gidabuday ( Mwenye Koti la Njano) na waandishi wenzake wa mbio za...

Gidabuday na baadhi ya Viongozi walioshiriki Mt. Hanang Marathon, Manyara.

Image

MT. HANANG MARATHON

Image

GEAY, MATANGA AND OTHER TOP ATHLETES TO COMPETE AT MAPINDUZI DAY FESTIVITIES

Image
Gidabuday Sports Tourism Foundation in collaboration with Arusha Athletics Association is gearing up for the Zanzibar Revolutionary Day Festivities that will include 10 Kilometers Fun Run as well as several events of Track and Field.   The Track and Field events to be held will be as follows; 1)     5000 Meters for Men and Women 2)     800 Meters for Men and Women 3)     400 x 4 Relays for Men and Women 4)     200 Meters for Men and Women 5)     Long Jump for Men and Women  The rare and unique combination of fun run and track meet will be held at the famous Sheikh Amri Abeid Stadium in Arusha on January 12 th 2020. Emanuel Giniki Gisamoda and Alphonce Felix Simbu - the London World Championships Bronze Medalist will be present as well as other national and world class athletes.   Head of coordinating team Eva Gidabuday is pleased to see outburst of support from vario...

Nyota Kibao Washiriki Ngorongoro Race 2018

Image
Mbio za Ngorongoro Race kabla ya kuanza mwaka jana. Na Mwandishi Wetu WANARIADHA nyota wamethibitisha kushiriki mbio za mwaka huu za Ngorongoro Race zitakazofanyika Aprili 21, imeelezwa. Mkurugenzi wa mbio hizo, ambazo zinafanyika kwa mwaka wa 11 sasa, Meta Petro alisema jana kwa njia ya simu kuwa, tayari wanariadha wengi nyota wamethibitisha kushiriki mbio hizo. Wanariadha wakichuana katika mbio za mwaka jana mjini Karatu. Baadhi ya wanariadha nyota waliothibitisha kushiriki ni pamoja na Fabian Joseph, Said Makula, Fabian mdogo, Dickson Marwa, Sarah Ramadhani, Jaquline Sakilu, Stephano Huche, Failuna Abdi na wengine. Makula, Sarah na Huche wamo katika timu ya Tanzania iinayoshiriki Michezo ya 21 ya Jumuiya ya Madola iliyoanza Gold Coast, Australia kuanzia Aprili 4 hadi 15. Ofisi ya Ngorongoro Race iliyopo Karatu mkoani Arusha. Petro alisema kuwa tayari zaidi ya wanariadha 200 wamejiandikisha kutaka kushiriki mbio hizo, ambazo zimekuwa zikifanyika katika kipindi cha...

Nitaanzisha matembezi ya KM 1300 kuchangisha fedha za kujenga ofisi na kambi ya kudumu ya RT.

Image
Na Victor Machota, Arusha. Katibu Mkuu wa chama cha Riadha Tanzania Wilhelm Gidabuday ni mmoja kati ya watanzania waliokwisha kutoa jasho, kushinda njaa na kupata maumivu, ilimradi sekta ya riadha ililetee Taifa heshima kama waasisi wa mchezo wa riadha nchini walivyojitoa hapo awali kuliwakilisha Taifa letu vyema katika mashindano ya kimataifa. Wilhelm amekuwa mfano katika harakati za kuboresha riadha toka hata kabla hajawa kiongozi katika riadha, mfano mzuri ni pale alipoamua kutembea umbali wa kutoka Bagamoyo hadi Ujiji kuhamasisha riadha hapa nchini, huku akiungwa mkono na wazalendo wachache wenye moyo na kiu ya kuboresha riadha nchini. Lakini pia amekua ni muanzirishi wa Sokoine Mini Marathoni ambayo hufanyika Monduli Juu kwa hayati Edward Moringe Sokoine. Sasa leo kupitia ukurasa wake wa Facebook, Katibu Mkuu Gidabuday ameonekana kudokeza matembezi mengine makubwa. Soma hapo chini alichoandika>>> "Sasa nalianzisha #Dude - miaka 7 iliyopita nilitembea kw...

SIMBU Clocked 2:09:41 in IAAF World Championships London 2017

Image
L-R, Coach Francis John, Secretary General Athletics Tanzania, and Alphonce Simbu . Geoffrey Kirui won the 2017 world men’s marathon title – becoming Kenya’s fifth champion in the event - after winning a testing duel in the sun with Ethiopia’s Tamirat Tola over the four-loop course that began and ended on Tower Bridge, where he finished in 2:08:27. In so doing, the 2017 Boston Marathon winner extended his country’s record as the most successful nation in the history of this event at the IAAF World Championships. Tola, the Olympic 10,000m bronze medallist and fastest in the field thanks to the 2:04:11 he recorded in winning this year’s Dubai Marathon, required medical treatment after struggling home in 2:09:49, just two seconds ahead of Tanzania’s Alphonce Simbu, who clocked 2:09:41. Home runner Callum Hawkins, who had featured intermittently in the lead through the first half of the race, finished strongly for fourth place in a personal best of 2:10:17. Kenya’s Gideon Kipketer, who s...

Tanzania's Alphonce Simbu and Kitur take the honours at the Standard Chartered Mumbai Marathon 2017

Image
Tanzania’s Alphonce Simbu crosses the finish line in 2.09.32 seconds to win the overall men’s title at the Standard Chartered Mumbai Marathon, 2017 on Sunday. Tanzania’s Alphonce Simbu and Kenya’s Bornes Kitur triumphed at the 14th edition of the Standard Chartered Mumbai Marathon 2017 on Sunday, winning in 2:09:32 and 2:29:02 respectively to take home first prize cheques of USD$42,000. It was a close finish for the Indian men at the Standard Chartered Mumbai Marathon this year with the finalists neck to neck till the 30 km mark. Sprinting across the finish line, Kheta Ram came in first, clinching the title with a timing of 2:19:51. Close on his heels was Bahadur Singh Dhoni who clocked his personal best and came in second with a timing of 2:19:57 and T H Luwang from Manipur who placed third with 2:21:19. Racing across the finish line for the Indian elite women was Jyoti Gawte from Maharashtra who was confident in her abilities from the start and finished with a timing of 2:50:53. Nex...

Benki ya Azania yadhamini mashindano ya riadha kwa watoto

Image
Mfano wa namba za ushiriki wa AZANIA BANK KIDS RUN zitakazofanyika Juni 5 katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam Juni 5 mwaka huu Chama Cha Riadha Tanzania RT kinaandaa mashindano ya aina yake maalum kwa ajili ya watoto wa miaka 16 kwenda chini (Miaka 3 hadi 16) ili kuhamasisha michezo kuanzia umri mdogo. Mashindano hayo yatafanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 6 mchana. Zoezi la kwanza mapema siku hiyo itakuwa kugawa T/Shirts (Jezi) za kushiriki zitakazokuwa na alama ya Azania Bank Kids Run kwa washiriki wote watakaokuwa na namba za kushiriki. Usajili utaanza Alhamisi wiki hii katika matawi yote ya Benki ya Azania jijini Dar es Salaam na ofisi za Chama Cha Riadha uwanja wa Taifa. Mbio hizo zitakuwa za aina tano; watoto wa kati ya miaka 5 hadi 7 watashiriki kilomita 1, miaka 8 hadi 12 watakimbia kilomita 2 wakati wale wakubwa kati ya miaka 13 hadi 16 watakimbia kilomita 5.  Wale wadogo wa miaka 2 hadi 3 watashi...

Taswira ya Dodoma Hapa Kazi Tu Half Marathon

Image
Mheshimiwa Waziri Mkuu mara baada ya kumaliza mbio za kilomita 2.5 Waheshimiwa mawaziri na wabunge wakiendelea na mazoezi yao siku ya mbio Filbert Bayi akiwa katikati ya waandishi na wadau waliokuwa wakimhoji siku ya mbio

Waziri Mkuu azindua mbio za Dodoma

Image
Baadhi ya Washiriki wa mbio za Hapa Kazi Tu Dodoma Half Marathon wakishiriki mbio hizo mjini Dodoma Januari 30, 2016. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi ufunguo wa pikipiki mshindi wa kwanza wa mbio za Hapa Kazi Tu Dodoma Half Marathon upande wa wanaume, Emmanuel Giriki kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Januari 30, 2016. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongoza mbio za Wabunge za Hapa Kazi Tu Dodoma Half Marathon zilizoanzia Bungeni hadi uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Januari 30, 2016. Kushoyo kwake ni Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye na kushoto ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt Tulia Ackson Mwansasu

Kuelekea maandalizi ya Mbio za Dodoma

Image
Mwingereza & Gidabuday Kocha wa riadha Anthony Mwingereza akiwa na Wilhelm Gidabuday Dodoma mwishoni mwa wiki kwa maandalizi ya mbio za Dodoma Hapa Kazi Tu Half Marathon. Mbio hizo zimeandaliwa na Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) kwa madhumuni ya kuendeleza mchezo wa riadha nchini. Pia mbio hizo zimeandaliwa kama mchakamchaka wa kupasha misuli kuelekea mashindano ya Olimpiki ya Rio De Janeiro nchini Brazil mwezi August mwaka huu.

Preps for Rio Olympic Games

Image
Coach Francis John (Lft) National Athletics Coach for Rio De Janeiro Games Mr Francis John says his boys are ready for medals. Tanzania has so far produced only two marathoners who have qualification standard for Rio Games. The two athletes who have their tickets ready for the games are Alfonce Felix and Said Makula, Felix qualified last year in Australia while Makula qualified at Casablanca Marathon. Said Makula, Gidabuday & Alfonce Felix

Russia replies as IAAF consider doping sanctions

Image
Vladimir Put / Russian President Moscow (AFP) - Russia sent a formal reply to damaging allegations of "state-sponsored" doping to world athletics' governing body on Thursday as the IAAF prepared to consider suspending the track and field superpower. "We have just sent our account to the IAAF," the acting president of Russia's athletics federation Vadim Zelichenok told TASS news agency. Russian athletics was placed firmly in the doping dock and risked exclusion from next year's Rio Olympics after the explosive accusations contained in Monday's World Anti-Doping Agency report which rocked the Olympic's flagship sport. Russia's immediate fate on the international stage is to be determined by athletics chief Sebastian Coe and the 27-strong IAAF council in a video-conference call meeting starting at 1800GMT on Friday. Zelichenok told the R-Sports agency that Russia's athletics authorities had produced th...

Wanariadha walioing’arisha Tanzania Mbio za Nyika warejea

Image
Kocha Francis John, Joseph Panga, Bazil John, Suleiman Nyambui, Alphonce Felix, Ismail Juma wakiwa uwanja wa ndege wa Julius Nyerere. Wanariadha watano wa timu ya taifa ya riadha wamewasili jana wakitoka kuiwakilisha   nchi katika mashindano ya dunia ya mbio za nyika yaliyofanyika mjini Guiyang, China mwanzoni mwa juma hili. Tanzania ilishika nafasi ya sita katika nchi 51 zilizopeleka wanariadha kwenye mashindano hayo huku Ismail Juma akitua nafasi ya tisa kati ya wanariadha 111 waliokimbia kilometa 12. Timu hiyo iliwasili uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere saa 10:55 jioni kwa Shirika la Ndege la Emirates wakiongozana na Kocha wao Francis John na kupokewa na Katibu Mkuu wa Chama cha Riadha nchini (RT) Suleiman Nyambui. Pia mwanariadha Bazil John alisema kuwa Tanzania isitegemee medali kama haiwekezi katika maandalizi kwani wamejifunza mengi walipoenda kushiriki mbio hizo. Kocha Francis John alisema hata sasa wanariadha wamejitahidi sana kut...

Theresia Dismas: Mama jasiri aliyeiletea Tanzania medali ya kwanza 1965

Image
Katika medani ya kimichezo Tanzania, historia ya kuletwa medali ya kwanza katika mshindano ya kimataifa ilitekelezwa na mwanamama Theresia Dismas Watanzania hatukumjua na hata tukatabiri kwamba mama yetu Theresia Dismas hayupo duniani kama nilivyowahi kuandika katika blog hii.  Ukweli ni kwamba mtanzania wa kwanza kufungua pazia la medali yupo hai na kwamba watanzania tuanze juhudi za kumtambulisha kwa viongozi wakuu wa serikali. Nilipoandika story kuwa mwanamke ndiye aliyeleta medali wa kwanza wengi walistuka maana historia hii inayowainua wanawake ilifichwa kwa muda mrefu bila shaka kutaka kupotosha ukweli. Jana nimepigiwa simu toka Uingereza na mtoto wa Theresia Dismas akaniambia habari yote katika blog yangu ni kweli “Isipokuwa” mama yao yupo hai na salama na anaishi Kenya! 'Mimi nilistuka na kushindwa jinsi ya kumjibu ila nilifurahi kwamba blog yangu imevumbua dhahabu iliyofichwa' na kwamba nitafanya juhudi kwa kushirikiana na wazalendo wenzangu tuwez...

MICHEZO: Mpango wowote ule unahitaji utaalamu wake

Image
Wanariadha wa kimataifa wakifanya mazoezi nchini Marekani katika jimbo la Colorado Duniani kila kitu ni taaluma, lakini taaluma lazima iendane na Uadilifu, Utii, Uaminifu na Hekima. Kwa mfano mchezo wa riadha unahitaji utaalamu wa kujua ni wapi pa kufanyia mazoezi? Ndipo sasa mpango wa ujenzi wa miundo mbinu ya mazoezi yenyewe yaanze kufikiriwa. Mfano mzuri ni jinsi wanariadha wengi duniani wanapofunga safari kwenda sehemu zenye mwinuko au tuseme nyanda za juu (High Altitude) kama inavyoonekana katika picha hapo. Kwa utafiti wangu mwenyewe sehemu ambazo wanariadha wa kimataifa wanafurika kutafuta High Altitude ni Bonde la Uffa Kenya na jimbo la Colorado Marekani.  Tanzania ni sehemu nzuri sana ambapo laity viongozi wetu wa michezo wangeumiza vichwa kujenga kituo kikubwa cha michezo tungepata kundi kubwa la wageni wa ‘Athletic Tourism”  Hivyo basi; Sisi wadau wa michezo hapa Tanzania tunapambana kujenga kitu kama hiki hapo ichani (National Sports V...