Posts

Showing posts from May 29, 2016

Kwa Mara ya kwanza Tanzania,mnamo tarehe 5 mwezi wa Sita, Benki ya Azania inakuletea Mbio za Watoto.

Image
Kwa Mara ya kwanza Tanzania,mnamo tarehe 5 mwezi wa Sita, Benki ya Azania inakuletea Mbio za Watoto au unaweza kuziita Kids Run Marathon  Hii ni Habari njema kwa Wakazi wa Dar es Salam,hivyo basi Mzazi, Mlezi, unahamasishwa kumleta mtoto wako kuanzia miaka Mitatu mpaka Miaka kumi na Sita waje kushindana na Watoto wenzao  Kutakuwa na zawadi kwa kila mtoto na kwa wale washindi watapata zawadi zaidi  Jinsi ya kijiandikisha na kushiriki ni rahisi sana fika kwenye tawi lolote la Dar es Salaam lililo karibu na wewe, fomu ni Shilingi 2000/- tu.  Watu wote mnakaribishwa.