Posts

Showing posts from July 28, 2013

Muhammad Ali's Africa Tour and the 1980 Olympics

Image
In response to the Soviet Union invasion of Afghanistan in 1979, the United States decided to boycott the 1980 Olympics in Moscow. President Jimmy Carter decided to have Muhammad Ali go on a five nation tour to convince African leaders to also boycott the Olympics. Ali was against the Soviet Union’s actions in Afghanistan and he was a popular figure in Africa, so for Carter this move seemed pretty logical. The five nations that Ali would visit were Tanzania, Kenya, Nigeria, Liberia, and Senegal. The United States government was at the time more concerned about this invasion that they were with the apartheid regime in South Africa. The general consensus on this decision seems to be that this was a bad diplomatic move on Carter’s part. Some officials in Tanzania questioned why Muhammad Ali was sent on a diplomatic mission and one questioned if the United States would have sent Chris Evert to London to talk with the British. It also didn’t help matters that Ali was poo

MOUNT HANANG IN NOTHERN TANZANIA IS HOME TO WORLD CLASS ATHLETES

Image
Katesh is the capital city of Hanang District of Manyara Region, mt Hanang is the 3rd tallest mountain in Tanzania after mt Meru and mt Kilimanjaro. Hanang District is home to most famous athletes who have represented Tanzania well, led by the legendary  Gidamis Shahanga (Commonwealth Games gold medalist in the marathon 1978 in Edmonton Canada, again won a gold medal in 10,000m in Brisbane Australia in 1982). Gidamis Shahanga become an inspiration to hundreds of young athletes and was seen as an icon and a celebrity both in Manyara Region and Tanzania as a whole. Born in Jarodom Vilage Shahanga is the first born in the family of Sumni Gituru Shahanga, his younger brother (Alfredo Gidabit Shahanga) took up the sports as well. Gidamis Shahanga's success later produced a pair of world class runners who carried the flag of Tanzania across the world during the 1980s and late 1990s. The late Simon Robert Naali born in Mogitu Village won the bronze medal in 1990 Commonwealth

Usain Bolt And Mo Farah Could Race Each Other

Image
Any race between the two would probably be over 600m Two of the biggest names in world sport could go head-to-head after Bolt said he was prepared to face the Briton over 600m. One is the world's fastest man, the other is one of Britain's most successful athletes, and they could be going head-to-head in a race for charity. Speaking to Sky, UK athletics star Mo Farah challenged Jamaican Usain Bolt to run over a distance of between 600 metres and 800 metres. Farah, 30, is more used to competing over 5,000m and 10,000m, while Bolt specialises in the 100m and 200m. They won their respective events at last year's Olympics and struck up a special connection during the London Games. So the charity race, if it happens, would be over an intermediate distance, raising money for their own foundations. Farah, who is also in form in middle distance running as he recently broke the British 1,500m record, said: &

WAKATI NIKITOA SHUKRANI KWA WOTE WALIOFANIKISHA MBIO ZA " MORINGE SOKOINE MINI MARATHON 2013" MONDULI ARUSHA.

Image
Pamoja na shukrani zote kwa washiriki wote wa kumbu kumbu za Edward Sokoine , Gidabuday ameishukuru familia ya hayati Edward Sokoine, pia Mh. Namelok Sokoine kwa kushirikiana nae kwa karibu katika kukamilisha mchakato huo. Mwisho kabisa ametoa shukurani zake za dhati  kwa ushirikiano wao wa karibu na wa dhati kutoka kwa WAZALENDO 25 BLOG na ASILI YETU TANZANIA BLOG. Bw. Wilhelm Gidabuday (kulia mwenye koti ya bluu ) akiwa na mwanariadha wa kimataifa Bw. Phaustin Baha Sulle wakisikiliza kwa makini na  kuhakikisha zoezi la utoaji wa vyeti kwa washindi wa riadha unafanikiwa. Gidabuday aliyasimamia kidete kuanzisha na kuratibu mbio za "Edward Moringe Sokoine Mini Marathon 2013" ambayo imeungwa mkono na Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania  Dr. Jakaya Kikwete aliyeahidi kuwa mwakani atakuwa mgeni rasmi katika full Marathon ya kumuenzi hayati Edward Moringe Sokoine katika kutimiza miaka 30 toka afariki tarehe 12/4/1984 na kuzikwa kwake Monduli, Mkoani Aru

Hapa ni katika Harakati za kuanzisha KIJIJI CHA MICHEZO TANZANIA

Image
Kocha wa Michezo ya Riadha nchini Bw. Samwel Tuppa na Mwanaharakati wa michezo Tanzania Bw. Wilhelm Gidabuday, wakitoka kwenye kipindi cha michezo katika kituo cha Redio 5 Arusha, ambamo walikuwa wakiongelea mchakato wa kuanzishwa kwa KIJIJI CHA MICHEZO TANZANIA kupitia michango ya watanzania wote. Kutoka kushoto: Kocha wa Michezo ya Riadha nchini Bw. Samwel Tuppa na Mwanaharakati wa michezo Tanzania Bw. Wilhelm Gidabuday na m uendesha kipind i cha michezo Re dio 5 Arusha Bw. Willy C osmas mara baada ya kutoka kwenye kipindi. Kutoka kushoto:Wilhelm Gidabuday, Samwel Tupa (Ko cha wa Riadha), Gadiel Urio (Mratibu wa harakati hi zo) na Dereva wa R edio 5 Arusha. By Adam Ihucha and Gadiel Urio -Arusha.   Tanzania is set to have a national sports training Village, thanks to an initiative by one of its renowned athletic. The sports academy will be named after the John Stephen Akhwari’, the probably forgotten first Tanzanian athletic to participate in 1968

GIDABUDAY KUHAMASISHA UJENZI WA KIJIJI CHA MICHEZO TANZANIA LENYE JINA YA MWANARIADHA MKONGWE BW.JOHN STEPHEN AKHWARI

Image
Kutoka kushoto ni Rogath John Stephen ,mwanariadha wa kimataifa na mtoto wa mwanariadha maarufu duniani Bw. John Stephen Akhwari ,Phaustin Baha Sulle mshindi wa medali ya fedha katika nusu marathon na Mwanaharakati wa michezo Tanzania Bw. Wilhelm Gidabuday.   ........................................ By Adam Ihucha and Gadiel Urio -Arusha.   Tanzania is set to have a national sports training Village, thanks to an initiative by one of its renowned athletic. The sports academy will be named after the John Stephen Akhwari’, the probably forgotten first Tanzanian athletic to participate in 1968 summer Olympics in Mexico. The World renowned athletic, Wilhelm Gidabuday, who happened to be a Tanzanian is behind the proposed Tsh 1 billion athletic training village, the first of its kind in the country. Mr Gidabuday, and a gifted Arusha based journalist and blogger, Gadiel Urio are currently working extra time to prepare nearly 700km marathon relay in a bid to r

JOHN STEPHEN AKHWARI ,MWANARIADHA WA KIMATAIFA ALIESAHAULIKA NA VIONGOZI WA MCHEZO HUO

Image
  JOHN Stephen Akhwari akiwa na baadhi ya medali zake alizozipata katika mashindano ya riadha ,kutoka mataifa mbalimbali. Mzee huyo anafahamika sana kwa kauli yake aliyoitoa nchini Mexico mwaka 1968 Olympic Games kuwa "Nchi yangu haijanituma kuja kuanza mashinadano; Bali kumaliza mashindano".  Mwanadada wa libeneke la kaskazini na mwandishi wa gazeti la nipashe Bi.Woinde Shizza akiwa kwa mzee John Stephen Akhwari wakati alipomtembelea nyumbani kwake mbulu mkoani Manyara. Hii ndio nyumba ya mzee Akhwari mwanariadha Nguli aliyeweza kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania Mwaka 1968 Olympic Games huko Mexico. Mzee John Stephen Akhwari akiwa amepozi sebuleni kwake   Na Woinde Shizza, Arusha JOHN Stephen Akhwari ni miongoni mwa wanariadha wenye historia kubwa hapa nchini kutokana na umahiri wake katika mchezo huo. Akhwari anakumbukwa sana katika Michezo ya Olimpiki kutokana na kauli yake ya kizalendo aliyoitoa wakati al

GIDABUDAY AZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI JIJINI ARUSHA

Image
Wadau wa Michezo nchini wakizungumza na vyombo vya habari jijini Arusha ;kutoka kushoto ni Gadiel Urio PR wa Shughuli hiyo, Rogath John Stephen(Mwanariadha wa kimataifa na Mtoto wa John Stephen Akhwari) , Bw. Wilhelm Gidabuday ambae ni mwanariadha na mwanaharakati wa Michezo Tanzania na Phaustin Baha Sule Mwana Riadha na Mshindi wa medali ya nusu marathon. Kutoka kushoto ni Rogath John Stephen ,mwanariadha wa kimataifa na mtoto wa mwanariadha maarufu duniani Bw. John Stephen Akhwari ,Phaustin Baha Sulle mshindi wa medali ya fedha katika nusu marathon na Mwanaharakati wa michezo Tanzania Bw. Wilhelm Gidabuday. Ha p a wakipewa maelekezo na PR wa shughuli hiyo,kabla ya kuanza kwa mazungumzo na Vyombo vya Habari ,katika mkutano wa vyombo vya habari vilivyofanyika Jijini Arusha.  . **********************   Na Gadiel Urio -Arusha “Sisi   kama wadau wakubwa na wazalendo wa michezo Tanzania ,tumeamua kuanzisha tukio hili la harambee,