Posts

Showing posts from May 18, 2014

Standing ovation: Sydney Gidabuday received a Varsity certificate

Image
Sydney received the Distance Runner Athlete of the Year award; Sydney had a “ Standing Ovation” for a great track season! Sydney Gidabuday and Bryan received their awards this evening, congratulations to both of them! Sydney Gidabuday and his El Modena teammates show their support and solidarity.  SOURCE: Helen Moreno in California.

RT IMEPOTEZA MWELEKEO KULIKO WAKATI MWINGINE WOWOTE

Image
Leonard Thadeo / Mkurugenzi wa michezo May 20 th , 2012 RT walifanya uchaguzi kwa MOU ambapo walisaini kwamba baada ya siku tisini viongozi watakuwa na katiba mpya ama sivyo watakuwa wamevunja mapatano, August 20 th , 2012 siku tisini zilitimia. (   Leo tarehe 20 th 2014 ni miaka miwili kamili imepita bila katiba mpya wala mafanikio yoyote katika mchezo wa riadha zaidi ya aibu kwa taifa letu. (    Inaelezwa kwamba mwaka mzima umetimia bila kikao cha kamati ya utendaji kufanyika kama ilivyo sheria, kanuni na taratibu za lazima za BMT. (    Leo hii RT imeburuzwa mahakamani (TEMEKE) kwa kudaiwa zaidi ya TSH: 20,000,000 kwa sababu ya uzembe wa viongozi wa taasisi hiyo isiyo na katiba inayotambulika. (    Mapema mwezi huu timu za kwenda kambini nje ya nchi zilichaguliwa mezani badala ya kuchaguliwa viwanjani kwa vigezo vya kushindanishwa ili walio bora wapelekwe.          Mheshimiwa waziri hata kwa macho tu hayo yanayofanywa na viongozi wa RT huyaoni,

Bring back the Mile: A Short History of the Mile

Image
The word “mile” comes from the Latin “mille”, meaning thousand, and a mile was 1,000 Roman strides, a stride being two paces. A mile is equal to 5,280 feet or 1,760yards or approximately 1,609 meters. Currently, the United States and Great Britain use the mile as a measurement unit. The mile became “The Mile” near the end of the 19th century when professional foot racing became the most popular sport in England, and Walter George (GBR) was the Mile’s first superstar. Over the next 100 years, other great Milers followed such as Norman Taber (USA), Paavo Nurmi (FIN), Glenn Cunningham (USA), Gunder Hägg & Arne Andersson (SWE), Herb Elliott (AUS) and Jim Ryun (USA).  But it was Roger Bannister (GBR), in 1954, who cemented the Mile’s place in history with the first sub-4 minute Mile – a time many experts thought an impossible if not a deadly barrier to break, and to this day, Bannister’s iconic mark is the watershed moment for the Mile. In the early 19

RT yaburuzwa mahakamani, Mtaka atuhumu serikali

Image
Rais wa RT aliyechaguliwa kinyume cha sheria namba 12 ya BMT iliyotungwa na bunge 1967 alinukuliwa akisema “Serikali ilikata majina ya waliokwenda nje ya nchi kujiandaa na michezo ya Jumuiya ya Madola" Laiti angejua wala asinge nena bora angepiga kimya; ‘Tangu lini serikali kwa maana ya wizara ikawa na maamuzi ya mwanariadha gani aende na yupi asiende’ RT ndiyo kiungo kati ya serikali na wachezaji. Mwanariadha chipukizi ATSON MBUGI ambaye ni mwalimu wilayani Kilindi Tanga alijikuta akisoma jina lake kwamba yupo New Zealand wakati yeye alikuwa Kilindi akifundisha darasani. Kocha maarufu nchini mwenye vigezo vya juu kabisa vya (IAAF) SAMWEL TUPA naye ameachwa kinyemela lakini jina lake likasomeka yupo New Zealand! MASWALI MAZITO : Nani aliyeenda, nani alipaswa kwenda, kwa nini majina yameleta utata, kwa nini kuna usiri? Je posho zao nani kachukua? Ni wajibu wetu kufahamu jinsi gani pesa za walipa kodi inatumika wakati kuna fungu kutoka vyama vya michezo duniani ina