Posts

Showing posts from November 17, 2013

NI WAKATI MWAFAKA WA ADEN RAGE KUONDOKA SIMBA

Image
Ismail Aden Rage Na Baraka Mbolembole Kuelekea mwisho wa utawala wa Hassan Dalali kama mwenyekiti wa klabu ya soka ya Simba, timu hiyo ya ' Msimbazi' ilikuwa katika wakati mgumu kiutawala. Dalali alikua aishi kuvurugana na aliyekuwa katibu wake mkuu Mwina Kaduguda, kwa mtazamo wa haraka Dalali ndiye ' Mwanachama- kiongozi' anayekubalika zaidi na ' Wana- Simba',   ila katika utendaji wake wa mambo muhimu katika makaratasi ilikuwa ni tatizo kubwa. Kumalizika kwa muda wa utawala wake   klabu ikaingia katika uchaguzi huru na wa haki na hapo Julai 2010 Ismail Aden Rage akaingia madarakani. Nchi yetu bwanaaa   kila mahali migomo tu, hadi wenye maduka wameingia!! Published By: Shaffih Dauda

Women and sport: Kuwait action plan sets out a promising future for African and Asian women in sport

Image
The first Afro-Asian Women and Sport Forum taking place in Kuwait and jointly organised by the International Olympic Committee (IOC), the Olympic Council of Asia (OCA) and the Association of National Olympic Committees of Africa (ANOCA), came to a close yesterday with a clear promise and active commitment to furthering the development of women’s role in the world of sport in the two continents. Opening addresses from OCA President Sheikh Ahmad Al-Fahad Al-Sabah and ANOCA President Lassana Palenfo set the tone for the three-day event as they outlined the achievements made and the challenges ahead for women in sport.  The Forum, attended by representatives from all 98 African and Asian NOCs, as well as delegates from the United Nations agencies, NGOs, the IOC, ANOCA, the OCA, and Continental and National Federations, concluded with the drawing up of an action plan reaffirming the delegates’ determination to include women representatives in all committees, monitor and communic

JAMALI MALINZI (Rais wa TFF) APONGEZA HARAKATI ZA gidabuday.blogspot.com

Image
JAMALI MALINZI / RAIS WA TFF Salamu Wilhelm Gidabuday. “Ahsante kwa salamu za pongezi na kazi unayoifanya kupitia gidabuday.blogspot.com" . "Tafadhali naomba tuendelee kushirikiana ili tupate ushindi na mafanikio ya kudumu ya mpira wa miguu Tanzania”.  “Naomba nifikishie salamu zangu kwa watu wa Arusha”. Wako, Jamal Malinzi Mwisho wa kumnukuu mheshimiwa Jamali Malinzi; ‘Mheshimiwa Rais wa TFF salamu zako zimefika kwa watu wa Arusha, nami pia nikushukuru kwa kutambua harakati zetu vijana wa Arusha katika ukombozi wa michezo Tanzania. TUKO PAMOJA MKUU’ Natanguliza shukurani, Kwa niaba ya wanaspoti wenzangu, Wilhelm Francis Gidabuday.

Mataifa 21 kushiriki Uhuru Maratho

Image
Innocent Melleck/Katibu wa Kamati ya Uhuru Marathon WANARIADHA kutoka nchi 21 wanatarajiwa kushiriki mbio za Uhuru Marathon zinazotarajiwa kufanyika jijini Dar es Salaam Desemba 8, mwaka huu. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Katibu wa Kamati ya Uhuru Marathon, Innocent Melleck, alisema kujitokeza kwa wanariadha kutoka mataifa mbalimbali kumeongeza hamasa kubwa ya mbio hizo. Melleck alisema wanariadha kutoka mataifa hayo ndio wamejiandikisha hadi sasa na wanaamini wengi wataendelea kujitokeza ili kufanikisha lengo lake. Alizitaja nchi wanazotoka wanariadha hao hadi sasa kuwa ni Tanzania, Uganda, Kenya, Afrika Kusini, Ethiopia, Angola, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Malawi, Marekani, Ujerumani, Jamaica, Urusi, China, Japan, Venezuela, Comoro, Nigeria, Italia, Canada, Madagascar na Uturuki. “Hii ni faraja kubwa kwetu, kwani inaonyesha kwa kiwango kikubwa lengo letu la kupigania amani, umoja na mshikamano miongoni mwetu linakubalika

Glasgow 2014: G4S up for stewarding role at Commonwealth Games

Image
A security firm which admitted its handling of the London Olympics was a "humiliating shambles" may provide stewarding at the Commonwealth Games. G4S is one of 19 companies being considered by organisers Glasgow 2014 to help police at the event. The firms will provide stewarding and security at the games venues and other sites, such as the athletes village. G4S paid £70m in compensation to the London games organising committee which used soldiers to plug security gaps. G4S came under severe criticism ahead of the 2012 Olympics, when it emerged that it had failed to recruit and train enough of the guards it had promised for the event. SOURCE: bbc.co.uk/news/uk-scotland-glasgow