Posts

Showing posts with the label Michezo / Riadha

Matokeo yote ya Mbio za Mapiduzi Day Festivals 2021 ziko Hapa (Official Results for Mapinduzi Day Track & Field 2021)

Image
  Bofya Hapa Kupata Matokeo Yote ( Click Here to get Official Results 2021 ) mbio za  2nd Annual Mapinduzi Day Festivals 2021  ambazo zilizoandaliwa na Gidabuday Sports Tourism Foundation ,wakishirikiana na Chama cha Riadha cha wilaya na Mkoa wa Arusha, ambazo zilifanyika tarehe 14/03/2021 katika Viwanja vya Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha.

Benjamin Michael Atakata kwenye Mashindano ya Mapinduzi Festivals 2021

Image
  Benjamin Michael akimaliza mbio za mita 400 kwenye mbio za  2nd Annual Mapinduzi Festival  ambazo zilizoandaliwa na Gidabuday Sports Tourism Foundation ,wakishirikiana na Chama cha Riadha cha wilaya na Mkoa wa Arusha, ambazo zilifanyika tarehe 14/03/2021 katika Viwanja vya Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha.

MEYA WA JIJI LA ARUSHA AHUDHURIA MBIO ZA MAPINDUZI FESTIVAL 2021

Image
Mkurugenzi wa Gidabuday Sports Tourism Foundation, Bw. Wilhelm Gidabuday akizungumza na wanahabari kusuhu mbio za 2nd Annual Mapinduzi Festival ambazo zilizoandaliwa na Gidabuday Sports Tourism Foundation ,akishirikiana na Chama cha Riadha cha wilaya na Mkoa wa Arusha, ambazo zilifanyika tarehe 14/03/2021 katika Viwanja vya Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha. Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha, Bw. Maximillian Iranqhe akiwasili kwenye mbio za  2nd Annual Mapinduzi Festival  ambazo zilizoandaliwa na Gidabuday Sports Tourism Foundation ,akishirikiana na Chama cha Riadha cha wilaya na Mkoa wa Arusha, ambazo zilifanyika tarehe 14/03/2021 katika Viwanja vya Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha. Meya wa Jiji la Arusha, Bw. Maximillian Iraqhe akizungumza na wanahabari kuhusu mbio za  2nd Annual Mapinduzi Festival  ambazo zilizoandaliwa na Gidabuday Sports Tourism Foundation ,akishirikiana na Chama cha Riadha cha wilaya na Mkoa wa Aru...

Group Picture with Sponsors at Mt. Hanang Marathon, Manyara.

Image

Nyota Kibao Washiriki Ngorongoro Race 2018

Image
Mbio za Ngorongoro Race kabla ya kuanza mwaka jana. Na Mwandishi Wetu WANARIADHA nyota wamethibitisha kushiriki mbio za mwaka huu za Ngorongoro Race zitakazofanyika Aprili 21, imeelezwa. Mkurugenzi wa mbio hizo, ambazo zinafanyika kwa mwaka wa 11 sasa, Meta Petro alisema jana kwa njia ya simu kuwa, tayari wanariadha wengi nyota wamethibitisha kushiriki mbio hizo. Wanariadha wakichuana katika mbio za mwaka jana mjini Karatu. Baadhi ya wanariadha nyota waliothibitisha kushiriki ni pamoja na Fabian Joseph, Said Makula, Fabian mdogo, Dickson Marwa, Sarah Ramadhani, Jaquline Sakilu, Stephano Huche, Failuna Abdi na wengine. Makula, Sarah na Huche wamo katika timu ya Tanzania iinayoshiriki Michezo ya 21 ya Jumuiya ya Madola iliyoanza Gold Coast, Australia kuanzia Aprili 4 hadi 15. Ofisi ya Ngorongoro Race iliyopo Karatu mkoani Arusha. Petro alisema kuwa tayari zaidi ya wanariadha 200 wamejiandikisha kutaka kushiriki mbio hizo, ambazo zimekuwa zikifanyika katika kipindi cha...

Rio Olympics: Tanzania's Alphonce Felix Simbu missed the medal clinching 5th place

Image
Alphonce Felix Simbu of Tanzania celebrates his 5th place finish  Alphonce Felix Simbu is one of the three marathon athletes from Tanzania who competed in today’s Olympic Marathon in Rio de Janeiro, he ran a smart race from the beginning. He maintained negative splits serving his energy for the last; he kept himself at the back of first group full of determined athletes to the half way. Said Makula and Fabian Joseph were also present. The young Tanzanian placed 24 th right after the half way, the group surges for breakaway, Mr. Simbu did not bother but kept his negative splits instead. At the 35 kilometers mark he moved up to 11 th place beating up those who surged with the first group. He suddenly gained momentum moving up to 8 th place and finally compromised 5 th place at the finish line.  The 5 th place finish was historical; Tanzania has had only two bronze medals from Fibert Bayi and Suleiman Nyambui in the Stipple Chase and 5000 meters in 1...

Rio Olympics: Tanzania awaits today as Olympic Marathon kicks-off in Rio

Image
Rio Olympic Games are about to end but for Tanzanians the game is just about to start, that’s because the strongest Tanzania team was in the marathon event out of 28 other sports of which we needed to have competitors but we couldn’t do so! Sara Ramadhani competed last Sunday and performed bad, today we have Alphonce Felix Simbu, Said Juma Makula and Fabian Joseph Naasi. Alphonce Felix Simbu WHO ARE THEY? ALPHONCE FELIX SIMBU DOB: February 14 th  1992 (age 24) Place of Birth: Mampando Village, Ikungi - Singida School: Winning Spirit Secondary School Highest Participation: 2015 World Championships - Beijing Said Juma Makula Personal Best: 2:09:19 – Lake Biwa Marathon 2016 SAID JUMA MAKULA DOB: August 1st 1994 Place of Birth: Kisuki Village - Singida School: Kisaki Primary School Fabian Joseph Naasi Highest Participation: 2016 Daegu Marathon – South Korea Personal Best: 2:12:01 – Daegu Marathon 2016 F...

Serengeti Boys Coach Eyes Finals Despite Tricky South Africa Test

Image
Serengeti Boys: The light at the end of tunnel  Dar es Salaam — Serengeti Boys head coach Bakari Shime is targeting nothing less than the final of the 2017 African Youth Championship (AYC). His confidence stems from the manner in which the Tanzanian Under-17 teams annihilated Seychelles over the two legs to progress to the second round of the qualifiers. Tanzania advanced to the second round whose finals will be held in Madagascar in style, recording a goal aggregate of 9-0. The Tanzanian boys, who had competed at the AIIF Cup in India prior to the AYC qualifiers, won the first leg 3-0 at the National Stadium before completing the job with a 6-0 win in victoria on Saturday. But they will have to do it the hard way if they are to qualify for the prestigious finals, coming up against the runners-up of the 2015 edition, South Africa, next month. Should they see off mighty South Africans, they will face either Namibia or Congo in the third round, which will take place in ...

Kwa Mara ya kwanza Tanzania,mnamo tarehe 5 mwezi wa Sita, Benki ya Azania inakuletea Mbio za Watoto.

Image
Kwa Mara ya kwanza Tanzania,mnamo tarehe 5 mwezi wa Sita, Benki ya Azania inakuletea Mbio za Watoto au unaweza kuziita Kids Run Marathon  Hii ni Habari njema kwa Wakazi wa Dar es Salam,hivyo basi Mzazi, Mlezi, unahamasishwa kumleta mtoto wako kuanzia miaka Mitatu mpaka Miaka kumi na Sita waje kushindana na Watoto wenzao  Kutakuwa na zawadi kwa kila mtoto na kwa wale washindi watapata zawadi zaidi  Jinsi ya kijiandikisha na kushiriki ni rahisi sana fika kwenye tawi lolote la Dar es Salaam lililo karibu na wewe, fomu ni Shilingi 2000/- tu.  Watu wote mnakaribishwa.