Posts

Showing posts from August 4, 2013

EDNA KIPLAGAT GOLDEN IN WOMEN'S MARATHON IN MOSCOW

Image
  Defending champion Edna Kiplagat of Kenya won her second world championship title in the women's marathon Saturday in Moscow, making a late surge to pull past Valeria Straneo of Italy. Kiplagat won in 2 hours, 25 minutes, 44 seconds. Straneo had led from the early minutes of the race on a flat course along the Moscow River. But Kiplagat made her move at the 40th-kilometre mark and finished nearly 15 seconds ahead of Straneo. Kayoko Fukushi of Japan won bronze. Canada's Lanni Marchant was 44th, with a time of 3:01:54, a season best. Saturday's opening amid near-empty stands left it to Usain Bolt to set the nine-day event alight Saturday night when he opens his campaign for three sprint gold medals. By that time, world-record holder Ashton Eaton will be halfway through the 10 events of the decathlon, seeking to add the world title to his Olympic gold. The American took control of the two-day decathlon early Saturday, building a big lead ov

GIDAMIS SHAHANGA NDIYE MWANARIADHA MTANZANIA WA KWANZA KUWEKWA KWENYE STAMP YA TANZANIA YA MWAKA 1980

Image
June 29, 2013  GIDAMIS SHAHANGA ni mwanariadha maarufu sana wa miaka ya 70 naa... hadi 1990 aliyeliletea Taifa letu la Tanzania heshima na rekodi isiyofutika katika rekodi sahihi za riadha nchini Tanzania na kote duniani. Gidamis ndiye mwanariadha wa kwanza hadi sasa ambaye picha yake iliwekwa katika STAMP (ya barua) ya Tanzania mnamo mwaka 1980 wakati wa utawala wa Mhasisi wa Taifa la Tanzania Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Gidamis Shahanga ni mwanariadha mstaafu aliyekuwa amejikita katika  mbio ndefu za mita 10,000 na mbio za Marathon. Shahanga alizaliwa Septemba 4, 1957 kaskazini mwa Tanzania yani Katesh Wilayani Hanang Manyara.  Kutoka kushoto (25) ni Zacharia Barie (Mtanzania) na katikati (26) ni GIDAMIS SHAHANGA wakimuonyesha umahiri mkenya (23) katika mbio zilizofanyika San Juan Porto Rico miaka ya 1980.  Ni vyema serikali na wadau wa michezo nchini kuwaenzi wachezaji wa zamani walioliletea Taifa letu heshima katika michezo mbali mbal