Posts

Showing posts from March 9, 2014

Suleiman Nyambui: Tujitoe katika mashindano ya Jumuia za Madola

Image
Suleiman Nyambui Akizungumza na shirika la habari la BBC leo asubuhi Suleiman Nyambui alikiri Tanzania haina uwezo wa kupata medali hivyo ni bora tukajitoa kukwepa aibu. Nyambui amekaririwa akisema hivyo wakati siku chache zilizopia alikaririwa na Star Tv akijigamba kwamba sasa tutashinda medali baada ya kuwepo na taarifa kwamba timu za Tanzania zitapelekwa nchi za nje kufanya mazoezi kwa msaada wa waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Mheshimiwa Bernard Membe . Tuamini lipi kati ya maneno yaliyosemwa na mtu huyo huyo katika vyombo tofauti vya habari?

KIKATIBA YEYE NANI? Kibali ujenzi Yanga mwisho wa mwezi

Image
Mzee Ibrahim Akilimali WAKATI Wazee wa Klabu ya Yanga wakipiga mkwara wa kutaka ndani ya siku tano wawe wamepewa kibali cha ujenzi makao makuu ya klabu yao Jangwani, Halmashauri ya Ilala imesema jambo hilo litaanza kufanyiwa kazi mwishoni mwa mwezi huu. Juzi, Mwenyekiti wa Kamati ya Ujenzi ya Yanga, Francis Kifukwe, alilalamika kuwa, licha ya kutuma maombi muda mrefu Manispaa ya Ilala kuomba kibali cha ujenzi pamoja na kuongezewa eneo, lakini wahusika wamekuwa kimya na kibaya zaidi, waliwafukuza kwenye kikao cha juzi. Wakati Kifukwe akilalamika juzi, jana Katibu wa Baraza la Wazee wa Yanga, Ibrahim Akilimali, aliwaambia waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kwamba, wanampa siku tano Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa, kuhakikisha wanatoa kibali kwa klabu hiyo kuanza ujenzi wa uwanja unaotarajiwa kuitwa ‘Jangwani City’. Akizungumza kwa mbwembwe, Akilimali alisema, wanatoa siku hizo kuhakikisha Silaa anatoa kibali, bila hivyo watahakikisha wanamwaga mboga, kwani ugali w

CONVICTION: Bayern Munich President Uli Hoeness Sentenced to 3.5 Years in Prison

Image
The 1974 World Cup winner is said to have evaded €27.2 million in taxes and was lucky not to receive a five-year sentence, according to The Guardian 's Philip Oltermann : "The 62-year old asked for leniency having voluntarily disclosed his actions to authorities." Hoeness made well in excess of 200 appearances for Bayern across a nine-year spell with the club before heading to Nuremberg on loan. His crime is sure to dampen a fantastic legacy he has built at Bayern since retiring in 1979, an era that has seen the club rise to prominence with multiple domestic titles and European successes. Most recently, Bayern 's greatest achievement with Hoeness as president arrived in the form of a quintet-winning 2013. Hoeness had hoped to avoid a prison sentence after turning himself in last year, per The Associated Press (via The Guardian ). Upon coming clean, German chancellor Angela Merkel expressed her disappointment toward the Bayern president, as qu

MUZIKI: GK atangaza ujio mpya wa East Coast Team

Image
MKALI wa muziki wa kizazi kipya nchini, Gwamaka Kaihula ‘King Crazy GK’ amewataka wapenzi wa kundi la muziki huo la East Coast Team kukaa mkao wa kula baada ya wasanii waliokuwa wanaunda kundi hilo kujipanga kurudi upya. Baadhi ya wasanii ambao walikuwa wanaunda kundi hilo ni Ambwene Yesaya ‘AY’, Hamis Mwinjuma ‘Mwana FA’, mwanadada Judith Wambura ‘Jide’ na GK. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, GK alisema, huu ni wakati wao wa kufanya kazi kama zamani kwa kutoa burudani nzuri ambazo zimekwenda shule. “Tumeanza kuongeza nguvu katika kundi letu jipya, tunatakiwa kufanya kitu kipya katika kiwango cha juu vitu ambavyo watu hawataamini kama ni sisi,  tunatakiwa kuwa katika viwango vingine kwasababu tukiwa katika hali ilele inamaana kutakuwa hakuna maana ya kurudi upya,” alisema GK. Alisema wameshapata studio ya kimataifa ambayo itatumika kutengenezea kazi zao, na kwamba kwasasa ataanza kutambulisha kazi yake ambayo ameshirikiana na AY na Mwana FA. GK alishawahi kutamba

The Last Day of Malaysia Airline: Passengers with Stolen Passports

Image
A man claiming to be the friend of two Iranians who used fake passports to board the missing Malaysia Airlines flight told ABC News that the men stayed at his home the night before the flight vanished. Mohammad Mallaeibeasir, 18, told ABC News that he is a student living in Malaysia who went to high school with one of the men who is believed to have used a fake passport to board the missing flight. He said the other man was a friend of the friend's, and the pair stayed at Mallaeibeasir's the night before the flight took off. Mallaeibeasir identified the men as Pouria Nour Mohammadi, 19, and Reza Devalar, 29, are both from Iran. He said he went to high school with Pouria, but had not seen him for a couple of years. They stayed with Mallaeibeasir and his roommate Friday night, and then Mallaeibeasir drove them to the airport, where they used stolen Italian and Austrian passports to board Malaysia Airlines Flight MH370 on Saturday morning, he said. The plane lost contac