Michezo: Tufanye yafuatayo ili tusonge mbele

Bernard Membe/Waziri mambo ya Nje
Viongozi wa vyama vya michezo wanapaswa kurejesha serikalini ripoti ya jinsi maandalizi, safari na mashindano yalivyofanyika wakati wa mashindano ya Glasgow.


Itakuwa ni kosa kubwa iwapo vyama vya michezo vitakabidhi ripoti zao kwa mkurugenzi wa michezo, badala yake viongozi wa vyama wakabidhi wenyewe.


Pia itakuwa ni haki kabisa wataalamu wa michezo husika kushirikishwa siku ya ripoti hiyo kuwasilishwa ili nao watoe ushauri wao wa kitaalamu.


Wachezaji walioshiriki pia wahusishwe ili waweze kusema yao ya mioyoni kwa uhuru na uwazi.


‘Hayo yakifanyika tutafanya vizuri safari ijayo kwani tutakuwa tumejua wapi tulijikwaa’

Comments

Popular

GIDABUDAY KUHAMASISHA UJENZI WA KIJIJI CHA MICHEZO TANZANIA LENYE JINA YA MWANARIADHA MKONGWE BW.JOHN STEPHEN AKHWARI

Rio Olympics: Brazil win men's volleyball gold, GB's Joyce takes boxing silver – as it happened

Olympics 2016: Usain Bolt completes sprint double, Jade Jones retains taekwondo title

Rio Olympics: Swimmer Lochte apologises for 'robbery' saga