Latest News

Thursday, January 28, 2016

Kuelekea maandalizi ya Mbio za Dodoma

Mwingereza & Gidabuday
Kocha wa riadha Anthony Mwingereza akiwa na Wilhelm Gidabuday Dodoma mwishoni mwa wiki kwa maandalizi ya mbio za Dodoma Hapa Kazi Tu Half Marathon.

Mbio hizo zimeandaliwa na Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) kwa madhumuni ya kuendeleza mchezo wa riadha nchini.

Pia mbio hizo zimeandaliwa kama mchakamchaka wa kupasha misuli kuelekea mashindano ya Olimpiki ya Rio De Janeiro nchini Brazil mwezi August mwaka huu.
No comments:

Post a Comment