Posts

GIDABUDAY AZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI JIJINI ARUSHA

Image
Wadau wa Michezo nchini wakizungumza na vyombo vya habari jijini Arusha ;kutoka kushoto ni Gadiel Urio PR wa Shughuli hiyo, Rogath John Stephen(Mwanariadha wa kimataifa na Mtoto wa John Stephen Akhwari) , Bw. Wilhelm Gidabuday ambae ni mwanariadha na mwanaharakati wa Michezo Tanzania na Phaustin Baha Sule Mwana Riadha na Mshindi wa medali ya nusu marathon. Kutoka kushoto ni Rogath John Stephen ,mwanariadha wa kimataifa na mtoto wa mwanariadha maarufu duniani Bw. John Stephen Akhwari ,Phaustin Baha Sulle mshindi wa medali ya fedha katika nusu marathon na Mwanaharakati wa michezo Tanzania Bw. Wilhelm Gidabuday. Ha p a wakipewa maelekezo na PR wa shughuli hiyo,kabla ya kuanza kwa mazungumzo na Vyombo vya Habari ,katika mkutano wa vyombo vya habari vilivyofanyika Jijini Arusha.  . **********************   Na Gadiel Urio -Arusha “Sisi   kama wadau wakubwa na wazalendo wa michezo Tanzania ,tumeamua kuanzisha tukio hili la harambee,