Posts

Lead 2014 Inspires Thousands of Young People During Commonwealth Games

Image
Scotland international hockey players Alison Howie and Michael Bremner helped launch this year’s Lead 2014 programme - which will see the number of young people involved since its inception in 2011 surge beyond 50,000. Howie and Bremner were at the Glasgow National Hockey Centre launch of the programme – a partnership between sport scotland, Youth Sport Trust and Glasgow 2014 –designed to develop the leadership skills of young people. Secondary pupils are mentored at a one-day conference by university student volunteers in how to plan, organise and manage Commonwealth Games themed sports festivals for their local primary and secondary schools. In its four years to date, Lead 2014 has now reached all 32 Local Authorities in Scotland, with an incredible 39,659 students, young leaders and school children participating. This year’s Lead 2014 will focus on what needs to be done for the final countdown of putting on an event and the opening ceremony will feature the Get Scotla

RIADHA: Holili Club yatesa mbio za Mwaka Mpya Dar

Image
Alfonce Felix/File Photo MWANARIADHA Alphonce Felix wa Klabu ya Holili kutoka mkoani Kilimanjaro, jana aliibuka mshindi katika mbio za kilomita 10 maalumu kuukaribisha mwaka mpya zilizofanyika jijini Dar es Salaam. Mbio hizo zilizoandaliwa na Klabu ya Nyro ya jijini Dar es Salaam, zilianzia viwanja vya Karimjee na kupita barabara mbalimbali kisha kumalizikia viwanjani hapo na kushirikisha wanariadha kutoka Tanzania Bara na Visiwani. Alphonce, alishinda kwa upande wa wanaume akitumia dakika 28:11.35 huku kwa wanawake Jackline Sakilu wa JWTZ Arusha akishinda akitumia dakika 33:18.33. Mshindi wa pili kwa wanaume alikuwa ni Alia Daudi wa Arusha akitumia dakika 28:23.32 akifuatiwa na Ezekiel Ngimba wa Holili 28:30.98, wa nne Andrew Sambu pia wa Holili dakika 28:41.30 na wa tano aliibuka Said Makula wa Arusha 28:47.81. Nafasi ya sita ilienda kwa John Leonard wa Holili aliyetumia dakika 28:50.36 na kufuatiwa na Abubakar Hussein wa JWTZ Arusha (28:54.96) huku wa nane aki

Maadhimisho: Mkoa wa Mbeya yapewa dhamana ya kuadhimisha miaka 37 ya CCM

Image
Matembezi ya mshikamano ikiwa ni mmoja ya hekaheka za maadhimisho ya ya Chama Cha Mapinduzi kutimiza miaka 37 tangu kuanzishwa kwake baada ya TANU (Tanganyika African National Union). Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano akiongoza njia mjini Mbeya. Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Mbeya Mjini Ndugu Ephraim Mwaitenda kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe mkoani Mbeya. Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Ndugu Abdallaha Bulembo mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa kimataifa wa Songwe mkoani Mbeya tayari kwa sherehe za kutimiza miaka 37 tangia kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi.