Posts

2016 Azania Bank Kids Run overwelmed headlines

Image
Lining the kids for the start was such a challenge, they just want to take off Starting Line for one of five categories Nothing taste l i ke winning a medal

2016 Azania Bank Kids Run signals the green light ahead

Image
The first Annual AZANIA BANK KIDS RUN attracted nearly 2000 kids from Dar es Salaam suburbs The Future Champions ages ranged from 3 yrs old to 16 years The big boys among the participating kids stride-off for 5km run around the city's main financial center Heads of National Sports, Azania Bank & Athletics Tanzania pictured with the winners of Azania Bank Kids Run

Kwa Mara ya kwanza Tanzania,mnamo tarehe 5 mwezi wa Sita, Benki ya Azania inakuletea Mbio za Watoto.

Image
Kwa Mara ya kwanza Tanzania,mnamo tarehe 5 mwezi wa Sita, Benki ya Azania inakuletea Mbio za Watoto au unaweza kuziita Kids Run Marathon  Hii ni Habari njema kwa Wakazi wa Dar es Salam,hivyo basi Mzazi, Mlezi, unahamasishwa kumleta mtoto wako kuanzia miaka Mitatu mpaka Miaka kumi na Sita waje kushindana na Watoto wenzao  Kutakuwa na zawadi kwa kila mtoto na kwa wale washindi watapata zawadi zaidi  Jinsi ya kijiandikisha na kushiriki ni rahisi sana fika kwenye tawi lolote la Dar es Salaam lililo karibu na wewe, fomu ni Shilingi 2000/- tu.  Watu wote mnakaribishwa.

Benki ya Azania yadhamini mashindano ya riadha kwa watoto

Image
Mfano wa namba za ushiriki wa AZANIA BANK KIDS RUN zitakazofanyika Juni 5 katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam Juni 5 mwaka huu Chama Cha Riadha Tanzania RT kinaandaa mashindano ya aina yake maalum kwa ajili ya watoto wa miaka 16 kwenda chini (Miaka 3 hadi 16) ili kuhamasisha michezo kuanzia umri mdogo. Mashindano hayo yatafanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 6 mchana. Zoezi la kwanza mapema siku hiyo itakuwa kugawa T/Shirts (Jezi) za kushiriki zitakazokuwa na alama ya Azania Bank Kids Run kwa washiriki wote watakaokuwa na namba za kushiriki. Usajili utaanza Alhamisi wiki hii katika matawi yote ya Benki ya Azania jijini Dar es Salaam na ofisi za Chama Cha Riadha uwanja wa Taifa. Mbio hizo zitakuwa za aina tano; watoto wa kati ya miaka 5 hadi 7 watashiriki kilomita 1, miaka 8 hadi 12 watakimbia kilomita 2 wakati wale wakubwa kati ya miaka 13 hadi 16 watakimbia kilomita 5.  Wale wadogo wa miaka 2 hadi 3 watashiriki

Manny Pacquiao Wins Philippines Senate Seat, Wants to Fight at 2016 Rio Olympics

Image
Boxer Manny Pacquiao Manny Pacquiao's political career received a boost Thursday as he earned a seat in the  Philippines Senate, but  Pac -Man may not be ready to put his old career behind him just yet. After the 37-year-old eight-division world champion finished seventh among 12 newly elected senators with over 16 million votes, he expressed interest in representing the Philippines at the 2016 Summer Olympics in Rio de Janeiro , according to the Associated Press. "I need to ask if the Filipino people will allow me to participate in the Olympics." Pacquiao retired from boxing following his unanimous-decision victory over Timothy Bradley in April 2016, but with professionals now being permitted to qualify for boxing in the Olympics, his hiatus from the ring could be brief. Boxing trainer Freddie Roach added this, per the Associated Press (ESPN .COM):  "He asked me if I would train him if they let pros in the Olympics. I said of course I will.&q

Surviving Bowerman sub-4 milers returning to the UO

Image
Eleven Ducks who ran under legendary coach Bill Bowerman broke the hallowed sub-four-minute-mile barrier, and on May 27 the ten surviving members of the group are returning to the University of Oregon for a special event, dubbed the “Sub 4 Reunion.” Organized as a fundraiser by the Oregon Track Club — founded by Bowerman himself more than 50 years ago — the public is invited to meet the milers and hear their stories. The reunion, held at the John E. Jaqua Center for Student Athletes, will feature a social hour,  panel discussion and question-and-answer session, and at the conclusion of the reunion attendees will head to Hayward Field for the 42nd running of the Prefontaine Classic. The sub-4 theme extends beyond the 10 honored guests, too. Tickets cost $25 for the public and $20 for OTC members, but if you’ve run a sub-4 mile it’s free. Hop Valley Brewing Company will debut a new beer, dubbed the Sub 4 Ale, at the event. Even the emcees, Andrew Wheating and Tom F

Benki ya Azania yadhamini Kids Run Dar

Image
RC Makonda akishuhudia makubaliano  NA ESTHER GEORGE, DAR ES SALAAM BENKI ya Azania imeingia makubaliano na Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) kuendesha mashindano ya riadha kwa watoto walio chini ya umri wa miaka 16 yajulikanayo kama Kids Run Dar es Salaam yatakayofanyika Juni 5. Hafla ya makubaliano hayo ilifanyika jana na kushuhudiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Benki hiyo imewekeza shilingi milioni 130 kwa ajili ya mbio hizo. Akizungumza na waandishi wa habari, Mkurugenzi Mtendaji wa Azania, Godfrey Dimoso, alisema benki hiyo inamilikiwa na Watanzania na wamejitosa kudhamini mbio hizo baada ya kukubaliana na RT. “Hili kwetu ni tukio la kihistoria kwa kuwa benki yetu ni ya kwanza kudhamini riadha tukiwa sekta binafsi, hivyo tumekubaliana na wenzetu wa RT kushirikiana katika hilo,” alisema Dimoso. Kwa upande wake, Makamu wa Kwanza wa Rais wa RT, William Kalaghe, alisema ni mara ya kwanza mashindano hayo kupata wadhamini nje ya Serikali, hivyo