MAADHIMISHO YA MIAKA HAMSINI YA UHURU: TULIKUWA 'UHURU PEAK' PAMOJA NA MADARAKA NYERERE, ANTONIO NUGAZ, ABUU MALIPULA, NEEMA LODRICK ETC
Shukurani kwa: (1) Zara Tours (2) Tanzania Tourist Board (3) TANAPA kwa udhamini. Lakini sintasahau uzalendo ulioonyeshwa ba Mapota (WAGUMU) pamoja na waongozaji wetu (Guides) kwa kutuhudumia nia nzima. 'HAKIKA MT.KILIMANJARO NI MBINGU ILIYOPO DUNIANI'
Source: TANTRAVEL
Source: TANTRAVEL
Comments
Post a Comment