MICHEZO KUKOSA WADHAMINI: MKURUGENZI WA MICHEZO NCHINI AKIRI VYAMA VYA MICHEZO VIMEKOSA UAMINIFU

Leonard Thadeo: Mkurugenzi wa Michez
Akizungumza na shirika la habari la Uingereza la BBC hivi karibuni mkurugenzi wa michezo nchini Leonard Thadeo amekiri vyama vingi vya michezo kupoteza uaminifu (credibility) kwa wadhamini wa michezo ndani na nje ya nchi.

Alielezea jinsi serikali ilivyokuwa mstari wa mbele kusaidia vyama vya michezo miaka ya nyuma, alielezea changamoto mojawapo ya serikali kushindwa kusaidia michezo hivi sasa kuwa ni kuanguka kwa uchumi duniani.

Bwana Thadeo alisema "wadhamini wamesha wahi kushuhudia viongozi wa michezo wakigombania fedha ama vifaa vinavyotolewa na wadhamini, kitendo ambacho kinawakatisha tamaa ya kuendelea kutoa udhamini wenyewe" alisema mheshimiwa Thadeo. "Makampuni yanapodhamini vyama vya michezo vinategemea kupata matangazo yenye maadili mema (good influence) ili nao pia wafaidike" mkurugenzi alisema.

Comments

Popular

GIDABUDAY KUHAMASISHA UJENZI WA KIJIJI CHA MICHEZO TANZANIA LENYE JINA YA MWANARIADHA MKONGWE BW.JOHN STEPHEN AKHWARI

Rio Olympics: Brazil win men's volleyball gold, GB's Joyce takes boxing silver – as it happened

Olympics 2016: Usain Bolt completes sprint double, Jade Jones retains taekwondo title

Rio Olympics: Swimmer Lochte apologises for 'robbery' saga