JAMALI MALINZI (Rais wa TFF) APONGEZA HARAKATI ZA gidabuday.blogspot.com


JAMALI MALINZI / RAIS WA TFF

Salamu Wilhelm Gidabuday.

“Ahsante kwa salamu za pongezi na kazi unayoifanya kupitia gidabuday.blogspot.com".

"Tafadhali naomba tuendelee kushirikiana ili tupate ushindi na mafanikio ya kudumu ya mpira wa miguu Tanzania”. 

“Naomba nifikishie salamu zangu kwa watu wa Arusha”.

Wako,
Jamal Malinzi

Mwisho wa kumnukuu mheshimiwa Jamali Malinzi;


‘Mheshimiwa Rais wa TFF salamu zako zimefika kwa watu wa Arusha, nami pia nikushukuru kwa kutambua harakati zetu vijana wa Arusha katika ukombozi wa michezo Tanzania. TUKO PAMOJA MKUU’

Natanguliza shukurani,

Kwa niaba ya wanaspoti wenzangu,

Wilhelm Francis Gidabuday.


Comments