NI WAKATI MWAFAKA WA ADEN RAGE KUONDOKA SIMBA

Ismail Aden Rage

Na Baraka Mbolembole
Kuelekea mwisho wa utawala wa Hassan Dalali kama mwenyekiti wa klabu ya soka ya Simba, timu hiyo ya ' Msimbazi' ilikuwa katika wakati mgumu kiutawala.
Dalali alikua aishi kuvurugana na aliyekuwa katibu wake mkuu Mwina Kaduguda, kwa mtazamo wa haraka Dalali ndiye ' Mwanachama- kiongozi' anayekubalika zaidi na ' Wana- Simba',  ila katika utendaji wake wa mambo muhimu katika makaratasi ilikuwa ni tatizo kubwa.
Kumalizika kwa muda wa utawala wake  klabu ikaingia katika uchaguzi huru na wa haki na hapo Julai 2010 Ismail Aden Rage akaingia madarakani. Nchi yetu bwanaaa  kila mahali migomo tu, hadi wenye maduka wameingia!!
Published By: Shaffih Dauda

Comments

Popular

GIDABUDAY KUHAMASISHA UJENZI WA KIJIJI CHA MICHEZO TANZANIA LENYE JINA YA MWANARIADHA MKONGWE BW.JOHN STEPHEN AKHWARI

Rio Olympics: Brazil win men's volleyball gold, GB's Joyce takes boxing silver – as it happened

Olympics 2016: Usain Bolt completes sprint double, Jade Jones retains taekwondo title

Rio Olympics: Swimmer Lochte apologises for 'robbery' saga