UTAIFA KWANZA: Sokoine Marathon inavyoondoa tofauti za kisiasa kati ya wabunge


Mh. Ole Sendeka akichuana na Mhe. Godbless Lema bila mongozo wa Mhe. Spika

“Ole wake kiongozi mzembe na asiye na nidhamu nitakayemkuta: Kiongozi wa siasa hana usalama wa aina yoyote. Usalama wake ni kudra ya Mungu na Wananchi peke yake. Viongozi wazembe na wabadhirifu wahesabu siku zao. Labda tusiwajue. Hawa hatuna sababu ya kuwapa imani, kuwa tutawalinda kama vitendo vyao viovu” - Edward Moringe Sokoine, 26 Machi 1983

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo akifungua rasmi mbio za Sokoine, pamoja naye ni Waziri Mkuu wa zaamani ambaye pia ni Mbunge wa Monduli Mhe.Edward Lowassa na viongozi wengine
“Katika nchi inayojali haki na usawa, majeshi hayana budi yawe ni chombo cha kulinda haki na maslahi ya walio wengi. Na kamwe hayaruhusiwi kuwa ni chombo cha wachache wenye kujali nafsi zao na kusahau maslahi ya walio wengi” - Edward Moringe Sokoine, 1Februari 1977.

Morani wa Kimasai akijumuika na watanzania walioshiriki mbio za kumbu kumbu ya Sokoine yaliyofanyika mapema mwaka huu wilayani Monduli


Comments

Popular

GIDABUDAY KUHAMASISHA UJENZI WA KIJIJI CHA MICHEZO TANZANIA LENYE JINA YA MWANARIADHA MKONGWE BW.JOHN STEPHEN AKHWARI

Rio Olympics: Brazil win men's volleyball gold, GB's Joyce takes boxing silver – as it happened

Olympics 2016: Usain Bolt completes sprint double, Jade Jones retains taekwondo title

Rio Olympics: Swimmer Lochte apologises for 'robbery' saga