Kamati ya ya Olimpiki yakaa kikao cha mwisho wa mwaka mjini Zanzibar


Kamati ya Olimpiki imeitisha  kikao mjini Zanzibar kujadili mambo yahusuyo kamati yenyewe na ushiriki wake katika kuhamasisha michezo kama ilivyo madhumuni ya kamati hiyo.
Pamoja na mengine kamati hiyo imejipanga kuwasilisha hoja ya mahesabu ya mapato na matumizi ya mwaka 2012/2013 na pia kutoa mtazamo wa bajeti ya mwaka ujao wa 2014.
Kwa mujibu wa nakala ya mahesabu ya mapato na matumizi iliyowasilishwa na kampuni ya ukaguzi ya Philips & Co wajumbe wa kikao hicho wataombwa kuridhia na kupitisha bajeti hiyo yenye utata.
Nakala ya makabrasha ya mahesabu hayo imetufikia kupitia wajumbe ambao wanataka mabadiliko ila wanaogopa uongozi uliopo madarakani kwani uongozi huo umejipanga kukaa madarakani milele.
Itaendelea…

Comments

Popular

GIDABUDAY KUHAMASISHA UJENZI WA KIJIJI CHA MICHEZO TANZANIA LENYE JINA YA MWANARIADHA MKONGWE BW.JOHN STEPHEN AKHWARI

Rio Olympics: Brazil win men's volleyball gold, GB's Joyce takes boxing silver – as it happened

Olympics 2016: Usain Bolt completes sprint double, Jade Jones retains taekwondo title

Rio Olympics: Swimmer Lochte apologises for 'robbery' saga