UHURU MARATHON NA CHANGAMOTO ZA UANDAAJI WAKE UNAOSHIRIKISHA ZAIDI MAMBO NA WATU WALIO NJE YA JAMII YA WANARIADHA


Hili ni tangazo zuri lililojaa nakshi na picha za kitaifa kuhusu uhuru wetu, najaribu kutafuta 'connection' ya kiriadha katika hii settings ila nakumbana na picha za wasanii bila kuona hata picha moja ya mwanariadha wa kitanzania. Kwa upande mwingine ada za namba ya kukimbilia (Bib Number Fees) ni kubwa pasipokuambatana na maelezo.

Wanariadha wengi mikoani wanaamini kwamba mbio hizo zinatangazwa kwa wenye hela bila kupambanua ni jinsi gani wao (wanariadha) wanashirikishwa ipasavyo. Hata hivyo tunasubiri kuona Rais wa Tanzania atajisikiaje ikiwa atalazimika kukabidhi zawadi kwa wakenya badala ya watanzania?.

Comments

Popular

GIDABUDAY KUHAMASISHA UJENZI WA KIJIJI CHA MICHEZO TANZANIA LENYE JINA YA MWANARIADHA MKONGWE BW.JOHN STEPHEN AKHWARI

Rio Olympics: Brazil win men's volleyball gold, GB's Joyce takes boxing silver – as it happened

Olympics 2016: Usain Bolt completes sprint double, Jade Jones retains taekwondo title

Rio Olympics: Swimmer Lochte apologises for 'robbery' saga