Mapinduzi ya Kihistoria: Zanzibar yatimiza miaka 50 tangu yafanyike mapinduzi yaliyoipa kisiwa hicho heshima ya pekee
Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein
akikagua vikosi vya ulinzi na usalama katika maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi ya
Zanzibar kwenye uwanja wa Amani mjini Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Jakaya Mrisho
Kikwete akiwapungia mamia ya wakazi wa Zanzibar wakati akiwasili kwenye Uwanja
wa Amani kwenye kilele cha sikukuu ya miaka ya 50 ya Mapinduzi.
Kikosi cha Kifaru kikionyesha kifaru cha kivita huku wananchi wakishangilia kwa furaha.
Comments
Post a Comment