Mazishi: Waziri mkuu wa zamani wa Izrali Ariel Sharon afariki dunia hivi punde


Sharon/enzi za uhai wake
Aliyewahi kuwa waziri mkuu wa Izraeli Ariel Sharon amefariki dunia hivi punde akiwa na umri wa miaka 85, vyombo vikubwa vya habari ulimwenguni vimeripoti.

Sharon aliyekuwa mahatuti kwa takriban miaka minane amefariki dunia hii leo akiwa amezungukwa na ndugu na familia ambao kwa siku za hivi karibuni walionyesha kukata tamaa.

Sharon alikuwa akitibiwa katika hospitali ya Sheba Medical Center nje kidogo ya mji wa Tel Aviv.

Comments

Popular

GIDABUDAY KUHAMASISHA UJENZI WA KIJIJI CHA MICHEZO TANZANIA LENYE JINA YA MWANARIADHA MKONGWE BW.JOHN STEPHEN AKHWARI

Rio Olympics: Brazil win men's volleyball gold, GB's Joyce takes boxing silver – as it happened

Olympics 2016: Usain Bolt completes sprint double, Jade Jones retains taekwondo title

Rio Olympics: Swimmer Lochte apologises for 'robbery' saga