MOTO CHUO CHA POLISI MOSHI, GHALA LA VIFAA LATEKETEA
Wanafunzi wa chuo cha taaluma ya polisi Moshi wakijaribu
kuzima moto na kuokoa mali zilizokuwa zikiungua katika moja ya stoo ya
kihifadhia vitu mbalimbali zikiwemo nguo baada ya kuzuka kwa moto katika jengo
hilo.
Comments
Post a Comment