Rais Kikwete afungua mkutano wa baraza la vyama vya siasa
Rais Jakaya Kikwete akitoa hotuba yake kwenye ufunguzi wa
mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa leo Februari 6, 2014 katika Ukumbi wa
Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam.
viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa wakati wa ufunguzi wa
mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa katika
ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam.
Viongozi walitanguliza neno la mungu kabla ya mkutano kuanza
ikiwa ni ishara ya amani miongoni mwao wote licha ya tofauti zao za kisiasa.
Comments
Post a Comment