Sports Diplomacy: Waziri Membe kupeleka wanariadha 40 nje ya nchi
Mhe. Bernard Membe |
RT imeonyesha dalili za kuchagua wanariadha mezani badala ya mashindano ya wazi ili kufanya mchujo wa kidemokrasia.
Mfumo ambao nchi za wenzetu kama Kenya wanafanya ili kuepusha upendeleo wa aina yoyote. Katibu wa RT Sulemain Nyambui amekaririwa na vyombo vya habari akidai kupeleka majina kwa waziri Membe.
Mfumo ambao nchi za wenzetu kama Kenya wanafanya ili kuepusha upendeleo wa aina yoyote. Katibu wa RT Sulemain Nyambui amekaririwa na vyombo vya habari akidai kupeleka majina kwa waziri Membe.
'Wazalendo na wapenda haki tunadhani ipo haja ya kuandaliwa
mashindano maalum yatakayopewa viwango kadha ambayo wakimbiaji wakifikia ndio
wachaguliwe kwa uwazi badala ya kumpa mwanya kiongozi moja kumpendelea ndugu ama jamaa yake'
Kuna tetesi kwamba kuna vijana na makocha ambao wamehakikishiwa safari hizo kwa ahadi maalum kwamba wakijiandaa kutoa chochote watahakikishiwa wanasafiri bila kujali uwezo wao.
Tunashauri makocha wote waitwe wapewe interview wajieleze na wakifaulu
ndio waende!
Kama ambavyo mtu hawezi kwenda Olympics bila kwanza kufikia viwango! Wanariadha pia wapewe mtihani huru wa kushindana kwanza na watakaoshinda waende kutuwakilisha.
Kama ambavyo mtu hawezi kwenda Olympics bila kwanza kufikia viwango! Wanariadha pia wapewe mtihani huru wa kushindana kwanza na watakaoshinda waende kutuwakilisha.
'Waziri Bernard Membe kama unapenda haki basi usipokee majina
ya kuchaguliwa mezani bali hakikisha kunawekwa mashindano ya kuchagua timu kwa
uwazi nawe pia uhakikishe kwamba haki ya kidemokrasia inatendeka'
Comments
Post a Comment