Wajumbe Bunge la Katiba: Uwiano kati ya Bara na Zanzibar, jinsia imekizingatiwa


Dk. Florens Turuka (kulia) akitangaza majina
TAASISI ZISIZO ZA KISERIKALI: Magdalena Rwebangira, Kingunge Ngombale Mwiru, Asha D. Mtwangi, Maria Sarungi Tsehai, Paul Kimiti, Valerie N. Msoka, Fortunate Moses Kabeja, Sixtus Raphael Mapunda, Elizabeth Maro Minde, Happiness Samson Sengi, Evod Herman Mmanda, Godfrey Simbeye , Mary Paul Daffa, Idrissa Kitwana Mustafa, Siti Abbas Ali, Abdalla Abass Omar, Salama Aboud Talib, Juma Bakari Alawi, Salma Hamoud Said na Adila Hilali Vuai.

TAASISI ZA KIDINI: Olive Damian Luwena, Shamim Khan, Mchungaji Ernest Kadiva, Sheikh Hamid Masoud Jongo, Askofu Mkuu (Mstaafu) Donald Leo Mtetemela, Magdalena Songora, Hamisi Ally Togwa, Askofu Amos J. Muhagachi, Easter Msambazi, Mussa Yusuf Kundecha, Respa Adam Miguma na Profesa Costa Ricky Mahalu, Sheikh Thabit Nouman Jongo, Suzana Peter Kunambi, Sheikh Nassoro Mohammed Ibrahimu, Fatma Mohammed Hassan, Louis Majaliwa, Yasmin Yusufali E. H Alloo na Thuwein Issa Thuwein.

VYAMA VYA SIASA: Hashim Rungwe Spunda, Thomas Magnus Mgoli, Rashid Hashim Mtuta, Shamsa Mwangunga, Yusuf  S. Manyanga, Mchungaji Christopher Mtikila, Bertha Ng’angompata, Suzan Marwa, Dominick Abraham Lyamchai, Mbwana Salum Kibanda, Peter Kuga Mziray, Isaac Manjoba Cheyo, Dk. Emmanuel John Makaidi, Profesa Ibrahim Haruna Lipumba, Modesta Kizito Ponera, Profesa Abdallah Safari na Salumu Seleman Ally.

Wengine ni James Kabalo Mapalala, Mary Oswald Mpangala, Mwaka Lameck Mgimwa, Nancy  S. Mrikaria, Nakazael Lukio Tenga, Fahmi Nasoro Dovutwa, Costantine  Benjamini Akitanda, Mary Moses Daudi, Magdalena Likwina, John Dustan Lifa Chipaka na Rashid Mohamed Ligania Rai.

Wengine ni Ally Omar Juma, Vuai Ali Vuai, Mwanaidi Othman Twahir, Jamila Abeid Saleh, Mwanamrisho Juma Ahmed, Juma Hamis Faki, Tatu Mabrouk Haji, Fat –Hiya Zahran Salum, Hussein Juma, Zeudi Mvano Abdullahi, Juma Ally Khatibu, Haji Ambar Khamis, Khadija Abdallah Ahmed na Rashid Yussuf Mchenga.

TAASISI ZA ELIMU: Dk. Suzan Kolimba, Profesa. Esther Daniel Mwaikambo, Dk. Natujwa Mvungi, Profesa. Romuald Haule, Dk. Domitila A.R. Bashemera, Dk. Jasmine Bendantunguka Tiisekwa, Profesa Bernadeta Kilian, Teddy Ladislaus Patrick, Dk. Francis Michael, Profesa Remmy J. Assey, Dk. Tulia Ackson, Dk. Ave Maria Emilius Semakafu, Hamza Mustafa Njozi, Makame Omar Makame, Fatma Hamid Saleh, Dk. Aley Soud Nassor, Layla Ali Salum, Dk. Mwinyi Talib Haji, Zeyana Mohamed Haji na Ali Ahmed Uki.

KUNDI LA WENYE ULEMAVU: Zuhura Musa Lusonge, Frederick Msigala, Amon Anastaz Mpanju, Bure Zahran, Edith Aron Dosha, Vincent Venance Mzena, Shida Salum Mohamed, Dk. Henry Mwizengwa Nyamubi, Elias Msiba Masamaki, Faustina Jonathan Urassa, Doroth Stephano Malelela, John Josephat Ndumbaro, Ernest Njama Kimaya, Haidar Hashim Madeweyya, Alli Omar Makame, Adil Mohammed Ali, Mwandawa Khamis Mohammed, Salim Abdalla Salim, Salma Haji Saadat na Mwantatu Mbarak Khamis.

VYAMA VYA WAFANYAKAZI: Honorata Chitanda, Dk. Angelika Semike, Ezekiah Tom Oluoch, Adelgunda Michael Mgaya, Dotto M. Biteko, Mary Gaspar Makondo, Halfani Shabani Muhogo, Yusufu Omari Singo, Joyce Mwasha, Amina Mweta, Mbaraka Hussein Igangula, Aina Shadrack Massawe, Lucas Charles Malunde, Mwinyi Mohamed, Jina Hassan Silima, Makame Launi Makame, Asmahany Juma Ali, Mwatoum Khamis Othman na Rihi Haji Ali.

VYAMA VYA WAFUGAJI: William Tate Olenasha, Makeresia Pawa, Mabagda Gesura Mwataghu, Doreen Maro, Magret Nyaga, Hamis Mnondwa, Ester Milimba Juma, Said Abdalla Bakari, Mashavu Yahya na Zubeir Sufiani Mkanga.

VYAMA VYA WAVUVI: Hawa A. Mchafu, Rebecca Masato, Thomas Juma Minyaro, Timtoza Bagambise, Tedy Malulu, Rebecca Bugingo, Omary S. Husseni, Waziri Rajab, Issa Ameir Suleiman na Mohamed Abdallah Ahmed.

VYAMA VYA WAKULIMA: Agatha Harun Senyagwa, Veronica Sophu, Shaban Suleman Muyombo, Catherine Gabriel Sisuti, Hamisi Hassani Dambaya, Suzy Samson Laizer, Dk. Maselle Zingura Maziku, Abdallah Mashausi, Hadijah Milawo Kondo, Rehema Madusa, Reuben R. Matango, Happy Suma, Zainab Bakari Dihenga, Saleh Mohamed Saleh, Biubwa Yahya Othman, Khamis Mohammed Salum, Khadija Nassor Abdi, Fatma Haji Khamis, Asha Makungu Othman na Asya Filfil Thani.

WENYE MALENGO YANAYOFANANA: Dk. Christina Mnzava, Paulo Christian Makonda, Jesca Msambatavangu, Julius Mtatiro, Katherin Saruni, Abdallah Majura Bulembo, Hemedi Abdallah Panzi, Dk. Zainab Amir Gama, Hassan Mohamed Wakasuvi, Paulynus Raymond Mtendah, Almasi Athuman Maige, Pamela Simon Massay, Kajubi Diocres Mukajangwa, Kadari Singo, Yussuf Omar Chunda, Fatma Mussa Juma, Profesa Abdul Sheriff, Amina Abdulkadir Ali, Shaka Hamdu Shaka na Rehema Said Shamte.

Jumla ya wajumbe 201 waliotajwa wataungana na wabunge wa Jamhuri ya Muungano kujadili katiba mpya ambayo watanzania wengi (Bara na Visiwani) tunaisubiria kwa hamu. MUNGU AWATANGULIE.






Comments

Popular

GIDABUDAY KUHAMASISHA UJENZI WA KIJIJI CHA MICHEZO TANZANIA LENYE JINA YA MWANARIADHA MKONGWE BW.JOHN STEPHEN AKHWARI

Rio Olympics: Brazil win men's volleyball gold, GB's Joyce takes boxing silver – as it happened

Olympics 2016: Usain Bolt completes sprint double, Jade Jones retains taekwondo title

Rio Olympics: Swimmer Lochte apologises for 'robbery' saga