World Cup: Mkusanyiko mkubwa wa pili duniani baada ya Olympic Games

Mashindano ya kombe la dunia ni mkusanyiko nambari mbili katika mikusanyiko yote ulimwenguni, pia ni mashindano yanayoangaliwa na mabilioni ya watazamaji duniani (TV Viewers).



Juni 12 mashindano hayo maarufu yataanza katika miji tofauti nchini Brazil ikimwemo Sao Paulo, Rio De Janeiro, Brasilia nk. 


Ni bahati kubwa kwa nchi hiyo kubwa iliyopo Latin America kwamba 2016 pia mashindano namba moja duniani (Olympic Games) yatafanyika Brazil katika mji wenye bandari kubwa ya Rio De Janeiro.

Comments

Popular

GIDABUDAY KUHAMASISHA UJENZI WA KIJIJI CHA MICHEZO TANZANIA LENYE JINA YA MWANARIADHA MKONGWE BW.JOHN STEPHEN AKHWARI

Rio Olympics: Brazil win men's volleyball gold, GB's Joyce takes boxing silver – as it happened

Olympics 2016: Usain Bolt completes sprint double, Jade Jones retains taekwondo title

Rio Olympics: Swimmer Lochte apologises for 'robbery' saga