BUTIAMA: Ziara yangu nyumbani kwa baba wa taifa

Safari yangu ya kuingia ndani ya boma la baba wa taifa ilianzia hapo mlangoni ambapo hisia za kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere zilinijia ghafla. 


Hili jumba ndilo linalohifadhi kaburi la baba wa taifa, kimsingi ufikapo hapo utapata kujua historia kamili ya jinsi uhuru wetu ulivyopatikana. Utajifunza mengi kwa kuona mwenyewe na pia utapata kuelezwa usiyoyafahamu.
 
Sanamu ya baba wa taifa! Bilashaka watanzania tutajitahidi kumuenzi baba wa taifa kwa vitendo.



Comments

Popular

GIDABUDAY KUHAMASISHA UJENZI WA KIJIJI CHA MICHEZO TANZANIA LENYE JINA YA MWANARIADHA MKONGWE BW.JOHN STEPHEN AKHWARI

Rio Olympics: Brazil win men's volleyball gold, GB's Joyce takes boxing silver – as it happened

Olympics 2016: Usain Bolt completes sprint double, Jade Jones retains taekwondo title

Rio Olympics: Swimmer Lochte apologises for 'robbery' saga