Mafisadi Hananag wauza Viwanja, Vyanzo vya Maji
Mt Hanang / Mlima wa tatu Tanzania |
Mwenyezi mungu ametujalia utajiri wa misitu, wanyama na
maji, lakini binadamu wamekuwa mafisadi na wababe, kufikia hatua ya kubadili
matumizi ya utajiri huu kwa kutumia mabavu, pesa na rushwa.
Ni miaka mingi hivi sasa tangu serikali ilipoamuru wavamizi
wa Bonde la mto Endamanang kuondoka,
hata ilani iliwekwa na serikali;
lakini kwa sababu ya ulafi wa baadhi ya maofisa wa jeshi la polisi wakishirikiana na
viongozi wakuu wa wilaya ya Hanang wasio waaminifu ilani iliharibiwa, hadi leo hii Bonde la Endamanang bado
linalimwa na watu kumi tu.
Hawa hapa wanaolima
Bonde la mto Endamanang lililopo Nangwa-Hanang kwa kulindwa na polisi wa Hanang;
(1)Nino Yahhi, (2)Sikukuu Axwesso, (3)Damasi Yatosh, (4)Disdery Yatosh,
(5)Izraeli Yatosh, (6)Zakayo Yatosh, (7)Isaya Baha, (8)Xufo Baha, (9)Gelangi
Baha & (10)Moshi Hhau
Mbabe aliye uza bonde ni Safari Massay ambaye kwa sasa ni mwenyekiti wa bodi ya maji ya mto
Nangwa na mto Endamanang.
Aliyefanikisha uwakala wa kusambaza hongo kwa viongozi wa wilaya na maofisa wa polisi ni Wema Nade maarufu Wema Kipisi, pia anajiita "OCD wa Nangwa"
Aliyefanikisha uwakala wa kusambaza hongo kwa viongozi wa wilaya na maofisa wa polisi ni Wema Nade maarufu Wema Kipisi, pia anajiita "OCD wa Nangwa"
DC wa sasa wa Hanang anasubiri nini kuwakamata wahusika?, DC
Makonda aliweza kuwakamata maofisa wake kwa kuchelewa, kwa nini hawa waharibifu
wasikamatwe?
Picha na habari / Wilhelm Gidabuday
Comments
Post a Comment