| Benjamin Michael akimaliza mbio za mita 400 kwenye mbio za 2nd Annual Mapinduzi Festival ambazo zilizoandaliwa na Gidabuday Sports Tourism Foundation ,wakishirikiana na Chama cha Riadha cha wilaya na Mkoa wa Arusha, ambazo zilifanyika tarehe 14/03/2021 katika Viwanja vya Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha. |
Comments
Post a Comment