Decta Tezforce Ashinda mbio za mita 5000 za Mapinduzi Festivals 2021

 




Vijana wakitimua vumbi katika mbio za 2nd Annual Mapinduzi Festivals 2021 ambazo zilizoandaliwa na Gidabuday Sports Tourism Foundation ,wakishirikiana na Chama cha Riadha cha wilaya na Mkoa wa Arusha, ambazo zilifanyika tarehe 14/03/2021 katika Viwanja vya Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha.


Decta Tezforce ashinda mbio za mita 5000 (5000m) kwa wanaume, kwa muda wa (14:29.31) akifuatiwa na Sylvester Simon (14:33.51) na wa tatu ni Joshua Elisante (14:52.40) mbio za 2nd Annual Mapinduzi Festivals 2021 ambazo zilizoandaliwa na Gidabuday Sports Tourism Foundation ,wakishirikiana na Chama cha Riadha cha wilaya na Mkoa wa Arusha, ambazo zilifanyika tarehe 14/03/2021 katika Viwanja vya Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha.

Comments

Popular

GIDABUDAY KUHAMASISHA UJENZI WA KIJIJI CHA MICHEZO TANZANIA LENYE JINA YA MWANARIADHA MKONGWE BW.JOHN STEPHEN AKHWARI

Rio Olympics: Brazil win men's volleyball gold, GB's Joyce takes boxing silver – as it happened

Olympics 2016: Usain Bolt completes sprint double, Jade Jones retains taekwondo title

Rio Olympics: Swimmer Lochte apologises for 'robbery' saga